Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.

Mmmmh......

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kama ndogo zako hujatimiza endelea kulala.
Hata kama huwe na haraka vipi huwezikufunga supu kwenye gazeti.
Utaosha vyombo vyote huwezi kuosha vyombo vya habari.
Maisha ni vita haina droo! Ni kushinda ama kushindwa.
Mlango wa gunia hauwekwi komeo.
Msimu wa maembe ngedere hakondi.
Kula ni bahati kunya ni lazima.
Ukimpenda asiyekupenda ni sawa na kusubiri meli airport
 
1. Hata Pundamilia ana MISTARI ila hajawahi kuingia studio kurekodi nyimbo.
2. Hata uwe na dada baunsa kiasi gani hawezi kutembea kifua wazi.
3. Hata kama unampenda mpenzi wako kiasi gani, mtaishia kuoga pamoja lakini si kunya pamoja.
 
nyongeza..utamu wa miraa kutoa jicho.
 
wazo la milele hata uwe mmbea kiasi gn ukiliwa 0713 HUWEZI KUTANGAZA!!
 
1. Hata Pundamilia ana MISTARI ila hajawahi kuingia studio kurekodi nyimbo.
2. Hata uwe na dada baunsa kiasi gani hawezi kutembea kifua wazi.
3. Hata kama unampenda mpenzi wako kiasi gani, mtaishia kuoga pamoja lakini si kunya pamoja.

Mkuu Maprosookwa brainstorming ... uko juu!
 
Back
Top Bottom