Wazo la leo wakuu!!!

Maprosoo uko juu sana hhhahahah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaha........ na hii je?
Hata uzame kwenye DIMBWI la mapenzi vipi, huwezi kuibuka na SAMAKI.
 
1. Hata Pundamilia ana MISTARI ila hajawahi kuingia studio kurekodi nyimbo.
2. Hata uwe na dada baunsa kiasi gani hawezi kutembea kifua wazi.
3. Hata kama unampenda mpenzi wako kiasi gani, mtaishia kuoga pamoja lakini si kunya pamoja.

Aha ha ha haaaaaaa! Umetisha mkuu.
 
Mdudu wa masala umeniacha hoi mchaga haweZ tunga sentens kwa kutumia neno pesa hhahahahh hawajiamini na pesa walizonazo au? Hhahah kaazi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata uwe Bosi mkubwa sana bandarini, nyumbani hutarudishwa na meli!
 
1. Hata uwe MSAFI vipi huwezi kunawa mikono wakati wa KULA rushwa.
2. Hata uwe na haraka kiasi gani huwezi kwenda zanzibar kwa JAHAZI la mzee Yusuph.
3. KICHWA cha mb** na chenyewe ni kichwa ila hakina mawazo.
4. Siku utakayokufa ndani ya maji ndipo utakapojua kua MAJI SIYO UHAI.
5. Dobi hata apige PASI vipi hawezi kupata namba BARCELONA.
 

haha umetisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…