Wazo la leo wakuu!!!

Mwanamke pekee anayejua wapi mumewe alipo muda wowote na kwa uhakika kabisa ni mjane peke yake. Wengine ni fiksi tu.
 
asante wana jukwaa hili nimefurahi, ila maprosoo nouma zako.
 
Hata uwe msafi vipi huwezi kunawa mikono wakati wa kula rushwa!

hata uzame vipi katika dimbwi la mapenzi huez ibuka na samaki.

hata uwe na adabu kiasi gani huez mpokea askari bunduki.

ugali hata uwe na moto vipi huwez washia sigara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…