ulimbo lunopo
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 243
- 39
ayo nimeyakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kujua ugumu wa kudai deni kopesha ukweni
Mwanamke pekee anayejua wapi mumewe alipo muda wowote na kwa uhakika kabisa ni mjane peke yake. Wengine ni fiksi tu.
Ukitaka kujua umuhimu wa C katika masomo pata D na ukitaka kujua umuhimu wa D pata F.
Haha hahaa ha mzee wa fastjet!hata JK awe anasafiri namna gani hawezi kwenda mwezini