Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

hata uwe na haraka vp huwezi kupanda jaazi la MZEE YUSUPH! baharini!
 
asante wana jukwaa hili nimefurahi, ila maprosoo nouma zako.

% mkuu, pata na hizi .....
1. Kama MAISHA ni safari basi KIFO ni konyagi.
2. Hata uwe na FUJO kiasi gani huwezi kugombea FOLENI la kupima UKIMWI.
......................
 
Kijana leo umetisha nimependa mistari.
Mashauzi mwenzie pesa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1.hata uzame kwenye mapenzi kiasi gani,huwezi kulowa
2.hata uwe mjanja kiasi gani,lazima ukipanulie choo tiGo
2.peas huna,nguvu huna,hata mkwara???
Kijana leo umetisha nimependa mistari.
Mashauzi mwenzie pesa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
1.hata uzame kwenye mapenzi kiasi gani,huwezi kulowa
2.hata uwe mjanja kiasi gani,lazima ukipanulie choo tiGo
2.peas huna,nguvu huna,hata mkwara???
 
Hata uwe na usingizi vp..huwezi lalia makaa ya moto!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna baba/mama mwenye nyumba ila hakuna baba/mama mwenye gari.
 
Ukitaka kuona masaa yanaenda haraka nenda kalale Guest, ila ukitaka kuona masaa yanachelewa kalale Polisi!
 
Back
Top Bottom