Wazo la project fulani

Wazo la project fulani

Nina wazo la kufanikisha 'project Y' mwishoni mwa mwaka huu. Katika hiyo project nahitaji vijana wenye vipaji katika ushonaji nguo, mabegi ya ngozi, viatu vya ngozi; au mwenye kipaji cha kutengeneza video za katuni.

Ningependa wapatikane wale ambao wako tayari kuanzia chini. Miezi 4 ya mwanzo hakutakuwa na malipo, ila utalipiwa unapoishi na huduma ya chakula itakuwepo. Wanatakiwa kama ifuatavyo; ushonaji nguo 1, ushonaji viatu 1, ushonaji mabegi 1, mtengeneza video za katuni 1.

Kama una hivyo vipaji au ujuzi,karibu tujadili
What's next baada ya hiyo miezi minne mkuu au ndio itakuwa imetoka hivyo[emoji2]
 
What's next baada ya hiyo miezi minne mkuu au ndio itakuwa imetoka hivyo[emoji2]
Hapana mkuu, kama uzalishaji utakuwa ni mzuri 'with zero defects' tutaendelea nao na kuwa familia moja kwa miaka 50
 
Back
Top Bottom