Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Closed
13/08/2020
13/08/2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,wenye vipaji tunawahitaji sana wanaoweza kutengeneza kitu kikaonekanaProject Y ??
Wewe ni CIA mkuu.
Hapana mkuuMr Kuku
What's next baada ya hiyo miezi minne mkuu au ndio itakuwa imetoka hivyo[emoji2]Nina wazo la kufanikisha 'project Y' mwishoni mwa mwaka huu. Katika hiyo project nahitaji vijana wenye vipaji katika ushonaji nguo, mabegi ya ngozi, viatu vya ngozi; au mwenye kipaji cha kutengeneza video za katuni.
Ningependa wapatikane wale ambao wako tayari kuanzia chini. Miezi 4 ya mwanzo hakutakuwa na malipo, ila utalipiwa unapoishi na huduma ya chakula itakuwepo. Wanatakiwa kama ifuatavyo; ushonaji nguo 1, ushonaji viatu 1, ushonaji mabegi 1, mtengeneza video za katuni 1.
Kama una hivyo vipaji au ujuzi,karibu tujadili
Hapana mkuu, kama uzalishaji utakuwa ni mzuri 'with zero defects' tutaendelea nao na kuwa familia moja kwa miaka 50What's next baada ya hiyo miezi minne mkuu au ndio itakuwa imetoka hivyo[emoji2]
Zikitengenezwa kwa weledi ni bidhaa bora isiyochujaYallo leather!
Kuna mdada Kenya anafanya hiyo mishe ndo anaiita yallo leather...kila la heri tutengenezee mikoba yenye mvuto na wallets za kijanja tutakuungaZikitengenezwa kwa weledi ni bidhaa bora isiyochuja
SawaKuna mdada Kenya anafanya hiyo mishe ndo anaiita yallo leather...kila la heri tutengenezee mikoba yenye mvuto na wallets za kijanja tutakuunga