Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Waniwezeshe haraka. Niwajibike kwa nchi kuwa kijana mwekezaji kwenye uwekezaji wa kiwanda kidogo ambacho ndani ya miaka 3 kitakuwa kiwanda kikubwa hapa nchini na East Africa.Nijiripue ,una maanisha nini mkuu?
By starting is possible. Japo haitoshi. Hata wazo langu kwa uchache linahitaji kwasasa zaidi ya Bilioni 5.6 fedha za Kitanzania. Ila kwa hatua sio mbaya hata kwa hiyo milioni 50 unaweza anza kulifanyia kazi.Lakini vijana wote Tanzania ndio uwashindanishe million 50?
Nafikiri kuna mashirika , mbalimbali yanayotoa mikopo nafuu kwa vifaa vya viwanda vidogo vidogo pamoja na pembejeo za kilimo, kama sijakosea🤔Waniwezeshe haraka. Niwajibike kwa nchi kuwa kijana mwekezaji kwenye uwekezaji wa kiwanda kidogo ambacho ndani ya miaka 3 kitakuwa kiwanda kikubwa hapa nchini na East Africa.
Brother hii nchi iache tu. Nimeshazunguka kuanzia TIC (Mwanza & Dar es Salaam), CRDB Bank Mwanza, wadau wa maendeleo mwaka 2017-2019 nikawa mpaka na sample ya bidhaa za kiwanda enzi hizo nina miliki vyerehani 10 mwisho wanaishia kusifia wazo na kuniambia nikodishe nyumba kama mpangaji eti nianzie hapo.Nafikiri kuna mashirika , mbalimbali yanayotoa mikopo nafuu kwa vifaa vya viwanda vidogo vidogo pamoja na pembejeo za kilimo, kama sijakosea🤔
Nakumbuka nilikua na wazo la kiwanda kidogo cha kuzalisha mikate , nikaenda SIDO ni ubabaishaji tuBrother hii nchi iache tu. Nimeshazunguka kuanzia TIC (Mwanza & Dar es Salaam), CRDB Bank Mwanza, wadau wa maendeleo mwaka 2017-2019 nikawa mpaka na sample ya bidhaa za kiwanda enzi hizo nina miliki vyerehani 10 mwisho wanaishia kusifia wazo na kuniambia nikodishe nyumba kama mpangaji eti nianzie hapo.
Kijana mwenye nia na uthubutu wa kuanza biashara hii ni biashara ya uhakika na soko lipo hapa nchini. Ila ndio mambo ya nchi. Kila jambo na wakati wake.
Haaaaahaaaaa.Nakumbuka nilikua na wazo la kiwanda kidogo cha kuzalisha mikate , nikaenda SIDO ni ubabaishaji tu
Yeah nilitembelea sido , kipindi hicho, mpaka soli za viatu zikakaa upande, nilichoambulia ni mashine za kutotolesha vifaranga tu🤣Haaaaahaaaaa.
Wazo halifi. Mungu ni mwema wakati wote. Unaweza ukatoboa siku moja.Yeah nilitembelea sido , kipindi hicho, mpaka soli za viatu zikakaa upande, nilichoambulia ni mashine za kutotolesha vifaranga tu🤣
Million 50 ibadilishwe kuwa dola.By starting is possible. Japo haitoshi. Hata wazo langu kwa uchache linahitaji kwasasa zaidi ya Bilioni 5.6 fedha za Kitanzania. Ila kwa hatua sio mbaya hata kwa hiyo milioni 50 unaweza anza kulifanyia kazi.
Biashara sio fedha pekee. Bali ni wazo ndio mtaji kamili kwenye biashara yoyote.
Haaaaaahaaaaaa !.Million 50 ibadilishwe kuwa dola.
Kingine vijana hawaitaji hiyo hela wanataka sera bora, wanataka urahisi wa kufanya biashara
Vitu gani rafiki.Hujaongelea vitu vya muhimu
Hayo ndio mawazo ya hao viongozi wake since then. Unajua lazima utofautishe kati ya kufanya biashara na kuanzisha biashara.kuanza na hiyo lumpsum capital ya 50M ambayo ni ngumu sana km hiyo pesa siyo yako, sabb ili mtu akupe atataka kuona mradi practically kwanza ukigeneratw revenew.
Hypothetically speaking, on paper kila business ni profitable, ila kwa field kuna utofauti sabb zipo challenges kibao zitaibuka. Hivyo mtu hawezi tu kutia 50M kirahisi hivo.
Ni vyema ukaanza japo na Milion 5, ukifanya vizuri hapo basi itakuwa rahisi watu kuweka mzigo hapo.
Waingereza wanasema, "seeing is believing, believing is seeing"
sabb biashara mpya zina risk sana (kufanikiwa au kufeli ni 50 50)Hayo ndio mawazo ya hao viongozi wake since then. Unajua lazima utofautishe kati ya kufanya biashara na kuanzisha biashara.
Tatizo hii nchi kila mtu anajihisi anajua kuanzisha biashara hapa ndio tatizo.
Inauma sana. Basi tu.
Ndio mawazo ya watu wenu wa Halmashauri na pesa kwa vijana. Eti mpaka waone bidhaa huo ni utoto.sabb biashara zina risk sana, hivyo ukiwa na mradi mdogo tayari ambao unakua periodically na ku-generate revenue.
Hapo unaweza kuitumia huo mradi kushawishi mtu atie mzigo.
Bila hivyo ni ngumu mno, i repeat, "seeing is believing"