Ndio mawazo ya watu wenu wa Halmashauri na pesa kwa vijana. Eti mpaka waone bidhaa huo ni utoto.
Mtaalamu wa IT unataka anze biashara ya mayai kwa kuwa na kuku wa kushikika hata kama atakuja na wazo la POS App au E-Commerce website.
Hii nchi shida ni uwezo wa kufikiria.
kuwa na POS App na E-commerce hizo tayari ni products, hapo inakuw rahisi kuongea na potential investor, sabb product anaona. (japo poa sio guarantee kwamba utatia mzigo)
ila ukienda na idea tu pekee, hapo ni ngumu.
Sana sana watakushauri uchakate wazo (idea) kisha uli-apply in a small scale ili waone, before proceeding any further.
On the other side, Hao jamaa wa halmashauri wapo sahihi pia, sabb kama wangekuwa wanatoa pesa tu kirahisi tu, aisee wangekula hasara.
Maana biashara nyingi mpya hufa mapema tu. Takwimu wanazo.
That's why unaona mlolongo ni mrefu maana wanataka kutia mzigo sehem ambapo palo na full details. (which is good pia)
Najua, inauma sana ila biashara mpya ni risk sana, that's why wanataka waione kwanza ikiwa applied even in a small scale kwanza kabla ya kutia mzigo.
Pambana mkuu, usikate tamaa, anza na hata 4m kama ukiweza, then bizness ikiwa good utarudi kwao ukiwa na full details (business proposal na plan iliyo Shiba) , kisha unaomba tena wawekeze. ikishindikana move hatua ya juu.
Wishing you nothing but the best.
Wazee wa Business Administration (hao watu wa halmashauri)