Wazo la uchumi kwa Tsh.50,000,000 kwa kijana: Uundaji wa kiwanda cha Nguo

Wazo la uchumi kwa Tsh.50,000,000 kwa kijana: Uundaji wa kiwanda cha Nguo

By starting is possible. Japo haitoshi. Hata wazo langu kwa uchache linahitaji kwasasa zaidi ya Bilioni 5.6 fedha za Kitanzania. Ila kwa hatua sio mbaya hata kwa hiyo milioni 50 unaweza anza kulifanyia kazi.

Biashara sio fedha pekee. Bali ni wazo ndio mtaji kamili kwenye biashara yoyote.
Huu ni UPUMBAVU
 
Mkuu uliaapply kwenye zile bilioni 200 fweza za mama?
Hapana. Sikubahatika kufanya hivyo kwenye hizo fedha unazozisemea.

Isipokuwa, nimeona tu ni vizuri kuweka hapa jukwaani wazo kwa kijana kwa huo mtaji.
 
Ndio mawazo ya watu wenu wa Halmashauri na pesa kwa vijana. Eti mpaka waone bidhaa huo ni utoto.

Mtaalamu wa IT unataka anze biashara ya mayai kwa kuwa na kuku wa kushikika hata kama atakuja na wazo la POS App au E-Commerce website.

Hii nchi shida ni uwezo wa kufikiria.
kuwa na POS App na E-commerce hizo tayari ni products, hapo inakuw rahisi kuongea na potential investor, sabb product anaona. (japo poa sio guarantee kwamba utatia mzigo)

ila ukienda na idea tu pekee, hapo ni ngumu.
Sana sana watakushauri uchakate wazo (idea) kisha uli-apply in a small scale ili waone, before proceeding any further.

On the other side, Hao jamaa wa halmashauri wapo sahihi pia, sabb kama wangekuwa wanatoa pesa tu kirahisi tu, aisee wangekula hasara.
Maana biashara nyingi mpya hufa mapema tu. Takwimu wanazo.

That's why unaona mlolongo ni mrefu maana wanataka kutia mzigo sehem ambapo palo na full details. (which is good pia)

Najua, inauma sana ila biashara mpya ni risk sana, that's why wanataka waione kwanza ikiwa applied even in a small scale kwanza kabla ya kutia mzigo.

Pambana mkuu, usikate tamaa, anza na hata 4m kama ukiweza, then bizness ikiwa good utarudi kwao ukiwa na full details (business proposal na plan iliyo Shiba) , kisha unaomba tena wawekeze. ikishindikana move hatua ya juu.

Wishing you nothing but the best.

Wazee wa Business Administration (hao watu wa halmashauri)
 
Hapana. Sikubahatika kufanya hivyo kwenye hizo fedha unazozisemea.

Isipokuwa, nimeona tu ni vizuri kuweka hapa jukwaani wazo kwa kijana kwa huo mtaji.

Kama mdau mmoja alivyotangulia kusema wawekezaji wanataka kuona proof of the concept kwanza, yani waone hilo wazo lako linaweza kubadilika kuwa fweza? Hapo ndio wanashawishika kuweka mtaji, kwanza wanataka kuamini concept kabla ya kukuamini wewe. Milion 50 ni mzigo mzito ujue tena kwa wabongo hawahawa wanaopigwa deile kulia kushoto juu na chini?

Ni ngumu kdg kukuelewa kwa maandishi tu bila kuona sales kadhaa. Fweza za mama ilikua ni mwanzo mzuri japo haijulikani km itakuwa kweli au yaleyale tu, ninajitahidi kuiambia akili yangu kwamba zamu hii atafanya kwa kuwa makonda kasema na mama anataka kujiswafi kwa yale ya Oct 29 na makei ni mtoto pendwa na mshauri muhimu so km watafanya iingekuwa sehemu ya kuanzia na wadau wangekufuata tu baada ya kuona baby steps unazoanza nazo
 
Kumshukuru nani huyo anayefanya CHARITY??

Nitajie huyo aliyejitolea nimpe SHUKHRANI zake.
Ni miongoni mwa fedha zako; ulizowapa dhamana wanajamii wenzako kusimama kwa niaba ya kundi la wananchi; ndio watoazo hizo fedha kama sehemu ya kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi.
Asante.
 
Kama mdau mmoja alivyotangulia kusema wawekezaji wanataka kuona proof of the concept kwanza, yani waone hilo wazo lako linaweza kubadilika kuwa fweza? Hapo ndio wanashawishika kuweka mtaji, kwanza wanataka kuamini concept kabla ya kukuamini wewe. Milion 50 ni mzigo mzito ujue tena kwa wabongo hawahawa wanaopigwa deile kulia kushoto juu na chini?

Ni ngumu kdg kukuelewa kwa maandishi tu bila kuona sales kadhaa. Fweza za mama ilikua ni mwanzo mzuri japo haijulikani km itakuwa kweli au yaleyale tu, ninajitahidi kuiambia akili yangu kwamba zamu hii atafanya kwa kuwa makonda kasema na mama anataka kujiswafi kwa yale ya Oct 29 na makei ni mtoto pendwa na mshauri muhimu so km watafanya iingekuwa sehemu ya kuanzia na wadau wangekufuata tu baada ya kuona baby steps unazoanza nazo
Brother karne ya 21 unataka kuona kiwanda eneo au namna ya uzalishaji !?.
Tatizo unagonganisha mawazo. Kuna kuanzisha biashara na kufanya biashara. Hii ni mambo kubwa sana ni ile basi wabongo tuna mambo zetu.
 
Ni miongoni mwa fedha zako; ulizowapa dhamana wanajamii wenzako kusimama kwa niaba ya kundi la wananchi; ndio watoazo hizo fedha kama sehemu ya kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi.
Asante.
Huwezi kuwezesha vijana kwa UJINGA wa MOTIVATIONAL SPEAKERS.
 
Brother karne ya 21 unataka kuona kiwanda eneo au namna ya uzalishaji !?.
Tatizo unagonganisha mawazo. Kuna kuanzisha biashara na kufanya biashara. Hii ni mambo kubwa sana ni ile basi wabongo tuna mambo zetu.

Ni mawazo tu kiongozi sio vita, nimepitia hayo nayajua sana so nimeshauri tu km hayana maana tupilia mbali tu! Anyway kila la kheri we unaanzisha au unafanya biashara wengine tunaziishi. Milioni 50 kibongobongo sio ya kuitafuta kwa kuanzisha thread JF bro, utaexperience lakini, nakutakia mafanikio!

Naamini critics ndio wanafanya watu kushappen their minds
 
Huwezi kuwezesha vijana kwa UJINGA wa MOTIVATIONAL SPEAKERS.
Uzuri hujafungwa kwenye jambo lolote. Unaweza nawe kusimama kama mwanajamii kusaidia au kuchukua faida kwa kuwawezesha vijana kimitaji. Nahisi hii ni sawa kwako.
Asante.
 
Ni mawazo tu kiongozi sio vita, nimepitia hayo nayajua sana so nimeshauri tu km hayana maana tupilia mbali tu! Anyway kila la kheri we unaanzisha au unafanya biashara wengine tunaziishi. Milioni 50 kibongobongo sio ya kuitafuta kwa kuanzisha thread JF bro, utaexperience lakini, nakutakia mafanikio!

Naamini critics ndio wanafanya watu kushappen their minds
Hata mimi sina ubinafsi na uchoyo wa mawazo. Nimependa kukupa mtazamo wangu hasa katika jambo hili.

Biashara huanzishwa kwa fedha ya ziada nje na mifumo yako ilivyo. Jamii yetu imejiaminisha kuwa mitaji biashara lazima uanze kidogo kidogo sijui haya mawazo wameyatoa wapi?.
 
Uzuri hujafungwa kwenye jambo lolote. Unaweza nawe kusimama kama mwanajamii kusaidia au kuchukua faida kwa kuwawezesha vijana kimitaji. Nahisi hii ni sawa kwako.
Asante.
Yeye anachukua faida wapi na kuwezesha vijana kimitaji kutoka mfukoni kwake??
 
Kukopesha kwa riba.
Unataka mkopo mkubwa hivyo wa 50M bila "collateral security?" 🤔

Au twambie utaweka nini as a collateral security so as to secure the 50M loan?
sabb ili ukoposhwe itahitaji uwe na kitu ambacho anayekukopesha (lender) anaweza kukitumika kuulipa mkopo wako endapo just in case wewe ukishindwa kuulipa kwa wakati.

"Liability isizidi Asset"
 
Ndio mawazo ya watu wenu wa Halmashauri na pesa kwa vijana. Eti mpaka waone bidhaa huo ni utoto.

Mtaalamu wa IT unataka anze biashara ya mayai kwa kuwa na kuku wa kushikika hata kama atakuja na wazo la POS App au E-Commerce website.

Hii nchi shida ni uwezo wa kufikiria.
Hebu twambie, ni nchi gani ambayo mwananchi akipeleka wazo lake la biashara hata bila ya kuwa na product, basi hapo hapo anapatiwa mtaji au mkopo?

jamani hata ughaibuni huko mambo sio easy, that's why hata huko sio kila mtu anamiliki likampuni lake.

Cha msingi ni fight, ikishindikana kupata hiyo 50M, basi anza na mradi wa 5M kwa kuomba from angel investors
au kwa kuomba mkopo toka kwa watu wako wa karibu (ndugu, jamaa, mwenza, marafiki wa karibu)
halafu biziness ikiwa poa na ukipata revenue nzuri hapo basi rudi tena ukaombe mkopo mkubwa zaidi au investment.

Again, wishing you all the best. Usikate tamaa tu.
 
Habari Waziri wa Vijana Tanzania !.

Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=).

Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on progree products) yaani kuchakata kitambaa kuwa nguo au vazi kamili( Finished products).

Kupitia mchanganuo ufuatao.
Gharama
1. Malighafi
2. Eneo la kiwanda
3. Vyerehani (100pcs)
4. Wafanyakazi 120 (Moja kwa moja ) na wengine wafanyakazi nje na kiwanda watu 50,000.
5. Utengenezaji wa E-commerce Website.
6. Gharama za Usajili: Brela, Halmashauri, TRA, Osha nk

Unajua nini !?...
Kabla hata uzalishaji haujaanza kufanya kazi naweza kugenerate zaidi ya Milioni 100. Hizi zinapatikana kwa njia Ifuatayo:

1. Kupitia E-commerce nitaweka utaratibu wa Wafanyabiashara vijana wanaotaka kufanya kazi na Kiwanda hiki wajisajili kwa Ada ya Tsh.25,000/=. Nakusudia awamu ya kwanza kuwa na wateja jumla ya watu 4,000.

2. Hawa wateja 4,000 vijana wa moja kwa kiwanda. Nitaweza kuwafanya kuwa Products Distributors hapa nchini. Ndio nitakao anza nao kufanya kazi moja kwa moja.

3. Tutatengeneza Online media+ Vipeperushi vyake kwa kuanza mauzo ya bidhaa zetu moja kwa moja na kujipatia kipato kupitia matangazo ya watu na viwanda vingine vidogo vya hapa nchini wanaotengeneza nguo na mavazi mbalimbali kwa kuchangia Tsh.50,000/= kwa kila mfanyabiashara mwenza mshonaji nguo. (Hapa tunakusudia kupata washonaji - viwanda bubu 100).

Karibu.
Nawaomba dili hilo la Tsh.50,000,000/= nijiripue chapu kwa haraka.

NB
Wazo.haliibiwi; kazi ni kwako.
Nenda bank kachukue pesa
 
Back
Top Bottom