Wazo la Utajiri Leta mtaji tutajirike

Wazo la Utajiri Leta mtaji tutajirike

Mercator

Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
37
Reaction score
18
Kama Heading inavyojieleza kuna biashara moja ambayo nimeiona ya kununua maeneo nakukata viwanja kwa mfano ekari moja ina uzwa milioni kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja 20 ambavyo ukiuza kila kimoja milioni moja na laki tano unapata milioni 30 Halafu hii biashara haina risk kwa sababu ardhi haiozi na kila siku inaongezeka thamani NB.Unaweza ukaanza na advance labda milioni nane halafu nyingine unailipa baada ya kuanza kuuza vipande Number yangu 0718239997 ahsante
 
maeneo gani hayo
 
ekari moja kutoa viwanja ishirini maana yake kila kimoja ni sqm 200!?
 
ni Viwanja vya soko? maana 20*20 unapata 4 10*10 =8 5*5 =16.4*4=20.
 
kwa hizi fujo na sintofaham bado hakuna biashara isiyo na risk kama ulivyoainisha hapo
 
Hujamsikia Lukuvi? Hakuna kugeuza mashamba kuwa viwanja. Ni lazima upitie process za halmashauri husika.
 
Kama utajiri ni rahisi na wa kufikirika kihivyo, acha kwanza hao wenye hizo hekari tuwaone wametajirika.
 
Wabongo wengi mmekaa katika kupinga believe or not watu wanatoboa one day nitakuja kurudisha mrejesho humu ndani maana na mimi nipo kwenye process
 
Back
Top Bottom