Mercator
Member
- Aug 27, 2016
- 37
- 18
Kama Heading inavyojieleza kuna biashara moja ambayo nimeiona ya kununua maeneo nakukata viwanja kwa mfano ekari moja ina uzwa milioni kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja 20 ambavyo ukiuza kila kimoja milioni moja na laki tano unapata milioni 30 Halafu hii biashara haina risk kwa sababu ardhi haiozi na kila siku inaongezeka thamani NB.Unaweza ukaanza na advance labda milioni nane halafu nyingine unailipa baada ya kuanza kuuza vipande Number yangu 0718239997 ahsante