Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia.
Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu.
Sasa kama kweli mabeberu ni watu wema andamaneni ili wamshinikize tupate katiba mpya.
Lakini sababu wao wapo tu kuona anatengeneza mazingira ya makampuni yao kuja kuinyonya Tanzania hawawezi kugusia hili suala.
Hayati JPM alijitenga mbali na mabeberu maana alijua ni watu wanafiki.