Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

Vunjeni bungu twende field Kama hapo bungeni ccm mtapata viti 5 ,KWA nini kuandikia mate na wino upo, chadema ni Oxygen, daily watu wanaivuta, and it is in air free for inhalation any time you need, chezea CHADEMA
Chadema wangekuwa vizuri wangekimbia uchaguzi wa Mahambwe
 
Chadema hii ni imara kama ya Dk Slaa? Pesa za kuendeshea chama mnazo?
Mwaka 2020 ccm haikushinda
Vituo vilifungiwa saa 9 usiku na wasimamizi wakuu alianza kuingiza kura kwenye mabox muda huo. Ccm ilishirikiana na TISS hili nililiona kwa macho yangu nikiwa KIBONDO.
watoto walichukuliwa cku mbili kabla na kwenda kupiga kura za ndiyo kwa Jpm pale kinondoni malipo yalikuwa 5000 mpaka leo hawajapewa. Ushahidi upo.
Asante mungu kwa MAJABU ULIYOITENDEA TANZANIA HATIMAYE SHETANI KAFARIKI
 
Chadema wangekuwa vizuri wangekimbia uchaguzi wa Mahambwe
Alisikika mjumbe mmoja wa ccm kwenye kura za maoni moshi,akitaka funika mlima kilimanjaro, na kuwaomba wajumbe wacheke ,hahahahaha Sasa, nami ngoja nikucheke hahaha.....................
 
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.

Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa hayupo nafikiri Chadema wanao uwanja wa kurudisha nguvu zao.

Waweke hadharani akauti ya Chama na namba za M pesa, Tigo pesa ,Airtrl money ili tuwachangie. Pesa zote akabidhiwe mwekiti Mbowe azitunze maisha yasonge mbele.
CDM inahitajika mno sasa kama ilivyo kuwa hapo kabla.
 
Back
Top Bottom