Wazo Pevu kwa 15millions....

Wazo Pevu kwa 15millions....

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
674
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.

Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.

Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.

I have 15millions

Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.

Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.

Karibu tujadili.
 
Njooni tujifunze wote

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.

Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.

Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.

I have 15millions

Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.

Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.

Karibu tujadili.
Ushauri wangu utakua mfupi tu, wekeza hela yako kwny biashara unayo ijua vizuri nje ndani. Au wekeza kwny biashara yenye relation na biashara mama yako, itakupa urahisi sana kwny uendeshaji na ufatiliaji. Ni hivo tu
 
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.

Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.

Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.

I have 15millions

Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.

Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.

Karibu tujadili.
njoo kwenye biashara ya magari within 3months au 5 hela imerudi as profit
 
mkuu hiyo fursa hua unajisifia tu mbona hua hutwambii? Zanzibar sio mbali hebu funguka
Ngoja kwanza nimalizie kukamua every cent... Usimuamshe alielala, utalala wewe. [emoji16]
 
Bro hakuna shortcut kwny hela ya bongo labda uingie Black market ambako nako Ni risk...
Nakushauri fungua duka la mahitaji ya binadam ya kila siku mix na hiyo ya uwakala utakuja kunishukuru
 
Kaka njoo arusha
Tupige kazi Moja kwa kushirikiana
Mm ni kijana mwenzio tutashirikiana kwa asilimia zote na hutojuta
 
Biashara unaiitia mwaliko bro!! Haujawa serious bado.
Bora hio 15mil uiwekeze kwenye biashara unayoiamini kwa awamu, hata kama utapata hasara utakuwa umejifunza kitu kuliko ualike mwenye biashara yake akuingize kwenye share. Utakuja humu na uzi wenye title ya kusikitisha...

Kwa sasa hzo kamishen zko na ahuen unaeza beti kdg wakat unaendelea kuujua mji.....

Lastly ingefaa sana kama ungetueleza hio 15mil uliipataje.
 
Njoo msumbiji kwenye maska ununue dhahabu after one yr utakua hata na ml 40 ukikaza. Maana hapo nisawa na grm 150 ambazo for one yr kwako unae anza huwez kushindwa kufikisha grm 350 so huwez kukoswa hyo pesa labda uwe mtu wa bata kupita kias.
 
Back
Top Bottom