Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.
Kwa sasa nipo dodoma na nilikuja kutafuta maisha inshort
2021 niliamua kufungua Ofisi ya uwakala ili niuelewe vizuri mji wa Dodoma.
Rungu la Mama lilinivamia na liliharibu sana Biashara husika
Hii ilipelekea kutopatikana kwa kamisheni nzuri ya mwezi na mpaka sasa Mambo si mazuri kabisa.
I have 15millions
Lakini sitataka kuiweka yote kwenye Biashara mpya Ambayo Naamini Hapa nitapata wadau wa kushirikiana or kunipa Wazo Pevu.
Nataka mtu anifundishe Biashara Husika na Hakika Faida Tutagawana ½ kwa ½ na kwa uwamini mkali sana.
Karibu tujadili.