Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Mr genius, then ujui fasihi, wapi mada imesema naandika wazo.Unamaliza chuo mwezi wa sita halafu kuandika tu wazo lako ili uliowalenga wakuelewe unakua kazi kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa unasema umemaliza chuo, ulikuwa unajibu vipi maswali ikiwa mada hii tu ujaielewa au mkumbo unafata, umezoea mada uki-direct kwenye majibu yakutoa, mweupe kwenye fasihi mkuu.
Jamaa unasema umemaliza chuo, ulikuwa unajibu vipi maswali ikiwa mada hii tu ujaielewa au mkumbo unafata, umezoea mada uki-direct kwenye majibu yakutoa, mweupe kwenye fasihi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Mr genius, then ujui fasihi, wapi mada imesema naandika wazo.
Ilichokushinda sanaa iliyotumika kuwasilisha mada, jifunze fasihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha bangi.haikufaiMbulula sana jamaa nyie, kwakuandika sizani anayenifikia mimi nimewaweka sawa juu still bado wengi wenu munaonekana weupe kabisa, niki-qoute mada nilizoandika humu utajua naandika contents zilizonyooka kiasi gani ila sitaki id yangu nyengine itambulike tu.
Nimechagua niwasilishe kwa namna navyotaka mie na ndivyo na ndivyo nilivyowasilisha mada sasa hamuelewi nini, je ingekuwa ni passage umepewa kwenye interview ungemwambia muuliza mwaswali uwelewi, jukwaa limejaa akili ndogo kufata mkumbo, mada ijataka mtu atoe jibu wala kukwambia cha kujibu munafosi kuandika utumbo tu.
Munaelekezwa munaboa nyie jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app