Wazo sahihi+Sehemu sahihi ila exposure ndogo dalili ya wazo kufa

Wazo sahihi+Sehemu sahihi ila exposure ndogo dalili ya wazo kufa

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
213
Reaction score
186
Hapana inabidi
 
Attachments

  • IMG_20190216_094044_367.jpeg
    IMG_20190216_094044_367.jpeg
    11.6 KB · Views: 62
Mkuu si ueleweshe vizuri Mada watu wakuchangie? Unaharakia kubishana badala ya kuelewesha Mada yako acha ujinga dogo
Jamaa unasema umemaliza chuo, ulikuwa unajibu vipi maswali ikiwa mada hii tu ujaielewa au mkumbo unafata, umezoea mada uki-direct kwenye majibu yakutoa, mweupe kwenye fasihi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, si tupo kwenye jukwaa la wajasiriamali au sio? Wajasiriamali always are very busy people sasa badala ya kunyoosha maelezo we unaleta fasihi andishi, huo muda wa kufumbua mafumbo unatoka wapi?
Haha Mr genius, then ujui fasihi, wapi mada imesema naandika wazo.

Ilichokushinda sanaa iliyotumika kuwasilisha mada, jifunze fasihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh embu maliza chuo Kwanza. Mana ulichoandika hata akifanani na Elimu yako
 
Iko hivi huwa kuna watu huwa na mawazo mazuri tu ndani ya nafsi.Sasa linapokuja swala la kuelezea hilo wazo kwa watu wamuelewe huwa ni vita kubwa.Hadi unaeza jiuliza hivi huyu jamaa ana akili timamu au la!.Sasa nadhan ndo kinachomkuta ndugu yetu anayejinadi ni msomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbulula sana jamaa nyie, kwakuandika sizani anayenifikia mimi nimewaweka sawa juu still bado wengi wenu munaonekana weupe kabisa, niki-qoute mada nilizoandika humu utajua naandika contents zilizonyooka kiasi gani ila sitaki id yangu nyengine itambulike tu.

Nimechagua niwasilishe kwa namna navyotaka mie na ndivyo na ndivyo nilivyowasilisha mada sasa hamuelewi nini, je ingekuwa ni passage umepewa kwenye interview ungemwambia muuliza mwaswali uwelewi, jukwaa limejaa akili ndogo kufata mkumbo, mada ijataka mtu atoe jibu wala kukwambia cha kujibu munafosi kuandika utumbo tu.

Munaelekezwa munaboa nyie jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie madogo ndio mnaharibu hili jukwaa. Zamani kulikiua na Mada za maana na watu wenye akili walikua wanaleta mada au kuchangia michango kwa akili kubwa. Sasa tangu mlipo leta u-fesibuku wenu humu hili jukwaa limepoteza mvuto. Tafadhali kama haujui kuandiaka omba msaada au unapo kosolewa basi kaa kimya. Umeambiwa haujaeleweka sasa kama haujui kuandik unalazimisha watu waelewe pumba zako? Acha utoto, we rudi huko fesibuku ukatukane watoto wenzako. Mnatuharibia jukwaa.
 
Mbulula sana jamaa nyie, kwakuandika sizani anayenifikia mimi nimewaweka sawa juu still bado wengi wenu munaonekana weupe kabisa, niki-qoute mada nilizoandika humu utajua naandika contents zilizonyooka kiasi gani ila sitaki id yangu nyengine itambulike tu.

Nimechagua niwasilishe kwa namna navyotaka mie na ndivyo na ndivyo nilivyowasilisha mada sasa hamuelewi nini, je ingekuwa ni passage umepewa kwenye interview ungemwambia muuliza mwaswali uwelewi, jukwaa limejaa akili ndogo kufata mkumbo, mada ijataka mtu atoe jibu wala kukwambia cha kujibu munafosi kuandika utumbo tu.

Munaelekezwa munaboa nyie jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha bangi.haikufai
 
Back
Top Bottom