Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

Yapo mashamba mengi yanalima mazao yasiyo na tija yanayotesa wakulima kama katani, hayo ni kufyeka na kupanda bangi
Mkonge ni tunu ya Taifa ndio maana nembo ya Bank Kuu Ina logo ya ZAO la Mkonge
 
Naam, sasa serikali ichangamkie fursa hiyo.
Mazingira Mzee wangu mazingira ni Uhai hatuwezi tukatumia Ardhi yetu yote kulimia Bangi hata km bei ya Bangi ni nzuri pia usisahau kuna ulimaji wa Bangi na aina za Bangi ni Sawa na Parachichi SIO kila Parachichi inafanya vizuri SOKONI uliza wale walimaji wa Parachichi kuna kipindi wanapata hasara sababu ya uzito wa Parachichi na vipimo vingine vingine vinawafelisha kufanya vizuri HIO Biashara kimataifa,

Sasa Sawa na Bangi inatakiwa ilimwe kisasa sio kienyeji ushaelewa na ikilimwa kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa na Mbegu ya kisasa zipo mpaka za GMO inayofanya vizuri SOKONI basi Maokoto yake ni mengi sana ikifikishwa kuuzwa HUKO duniani,

TATIZO ni kwamba Bangi ikiruhusiwa ilimwe wengi watalima kienyeji zaidi hivyo haitokua na tija kibiashara maana lengo ni kuiuza kimataifa sasa inapolimwa kienyeji bila kufuata taratibu za kulima kisasa mfano kwa kutumia Greenhouses na vitendea kazi vingine vya kisasa maana kuna vipimo vinahitajika ili kupata Bangi Bora

Kwa kuzingatia kiwango cha Jua na kiwango Baridi plus kiwango cha Hewa na kiwango cha Maji bila kusahau kiwango cha unyevu PH level temperature level n so on yaan vingi vya kuzingatia ili kupata Bangi Bora kutoka kwenye Mbegu Bora sasa ikiwa ikakosa vipimo hivyo itakua haina tija kibiashara tutaishia kuuziana ndani tu labda na vinchi Jilani tu Bangi uchwara, ushanielewa

HIO maana yake km nilivyokuelezea KUHUSU Parachichi jinsi zinavyonunuliwa kwa vipimo huko Duniani the same kwa Bangi apart from that pia kuna aina ya Mbegu ya Bangi SIO kila Bangi inafanya vizuri SOKONI,

Itoshe kusema hivyo yaan mazingira yetu pia yana umuhimu wake
 
Baada ya kulima kwanza ZAO la Bangi SIO km mazao mengine namaanisha kwenye upandajwi na uvunaji ushaelewa pia Bangi ukilima inasababisha Jangwa na Ukame maana lazima ufyeke MITI mingi kupata eneo la kulima kwa HIO mpaka HAPO inapelekea mabadiriko ya tabia ya NCHI sababu ya ukatajwi wa MITI kingine watu wakiegemea ZAO la Bangi na kuacha kulima mazao mengine ya Chakula maana yake tutaingia kwenye scarcity ya Chakula hivyo itatulazimu kununua Chakula kutoka NJE sababu Ardhi yetu kwa kiwango kikubwa itakua inalimwa Bangi tu yaan HAPO nimekupa summary tu Ila hasara ni nyingi kuliko faida
si kweli ardhi ya tz ni kubwa sana.inakaa tu wala hailimwi.eneo linalotumika kulima inalimwa hovyo hovyo c kwa kisasa.tubadilike tuendane na dunia inataka nn
 
Back
Top Bottom