Wazo: Tanzania Ishirikiane na Cuba kwenye Suala la Chanjo

Hivi, Mkuu, kwa nini unaona raha sana kusema uongo mbele ya jamii? Sasa teknolojia inakuumbua. Baki na aibu yako kwa sasa baada ya kumaliza kutazama clip hii hapa chini.
===
Magufuli aliwahi kuvaa barakoa? kwenye vikao vyake ikulu aliwahi kuruhusu watu kuvaa barakoa? hakuwahi kumzuia spika Ndugai asivae barakoa kisa Mungu ameondoa corona?

Magufuli aliwahi kuvaa barakoa? kwenye vikao vyake ikulu aliwahi kuruhusu watu kuvaa barakoa? hakuwahi kumzuia spika Ndugai asivae barakoa kisa Mungu ameondoa corona?

Kwa hiyo unachagua yale tu unayotaka kusikia kutoka kwake. Mkuu, chutama watoto wapite! Nakutakia siku njema.
 
Kwa hiyo unachagua yale tu unayotaka kusikia kutoka kwake. Mkuu, chutama watoto wapite! Nakutakia siku njema.
hamna video yoyote ambayo Magufuli amehimiza watu kuvaa barakoa, wala kuchanja, bali msimamo wake ni maombi yaliondoa covid tanzania.
hiyo video uliyoweka hapo lengo lake ilikuwa ni ku discourage watu kuvaa barakoa kwa kuwaambia kuwa zimetiwa infection
 
video uliyoweka hapo lengo lake ilikuwa ni ku discourage watu kuvaa barakoa
Yaani anasema mvae barakoa zinazotengenezwa na wizara ya afya, ikishindikana mvae za kutengeneza na vitenge, kama aliyokuwa amevaa Mama wakati anasema maneno hayo. Lakini, bado unasema Hayati Dr Magufuli alikuwa ana discourage watu wasivae barakoa.

Mimi nadhani uwe wazi kuwa alikuwa anadiscourage barakao zenu mulizoziingiza nchini kibiashara huku hamjui zina madhara gani, na sasa aliwatia hasara kwa kuzuia wananchi kuzitumia. Hivi mwanzoni nilikutakia siku njema ama mchana mwema? Okay, nakutakia Siku njema kwa mara nyingine.
 
Nimesikia Waziri Mkuu ameagiza hili..asanteni
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yaani kukaa kote US bado upo na ukomunist? Something good coming out of Cuba!!!!!!!!!!!!!! Hii Mindset kweli imetuganda ubongoni
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yaani kukaa kote US bado upo na ukomunist? Something good coming out of Cuba!!!!!!!!!!!!!! Hii Mindset kweli imetuganda ubongoni
Castro aliwahi kumwambia Pope John Paul ii kuwa if Jesus came today, he would land in Cuba. Socialism is irreplaceable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…