Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Habari wakuu?
Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti"
Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa makampuni mbalimbali kumkataa mtu, au pia huenda ni namna ya fitina inayofanywa na watu wanaokua kwenye kitengo ulichopeleka project yako kwamba endapo wazo lako kwa namna lilivyo zuri/bora huenda kampuni ikakuangalia kwa jicho la karibu halii ambayo huenda ikapelekea baadhi ya wenye vitengo kwenye kampuni kuwa mashakani....au sababu nini??
Yani mtu yupo radhi kampuni isikue ilimradi tu asitumie wazo lako.
Mawazo mazuri yanaozea kwenye makaratasi, Kampuni hazikui inavyotakiwa, sababu tu ya watu baadhi....Wakuu naomba tushirikishane tatizo hasa ni nini? Na mbinu zipi za kuepuka hili tatizo.