Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
- Thread starter
- #41
Nmekuelewa mkuu ila inaumiza sana na kuua ubunifu, halafu mwisho wa siku hao hao ndo wanaenda kwenye media na kusema vijana wa kitanzania acheni kukaa tu, mjiajiri ,akati mifumo yetu ya kujiajiri wanaiua wao wenyewe.Mkuu usinilaumu mimi. Mimi nimekuhabarisha tu uhalisia na hulka za wabongo. Ukiwa na idea nzuri anakukatisha tamaa au kujidai kukusifia kinafki ila kiujumla huwa hapendi ufanikiwe.