Miss Natafutwa
Senior Member
- Dec 18, 2024
- 190
- 593
Uwe na biashara yenye umri usiopungua miezi sitaHabari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana?
Risk zake zipoje.
Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
Mkuu huyu ataipoteza hiyo nyumbaUwe na biashara yenye umri usiopungua miezi sita
Uwe na leseni ya biashara
Uwe na nyaraka halisi za nyumba
Mkopo ni kwa ajili ya kukuza biashara au kuanzisha biashara?Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana?
Risk zake zipoje.
Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
Namba ya kukopa ndiyo nini na inapatikanajeMkopo ni kwa ajili ya kukuza biashara au kuanzisha biashara?
Kama kuanzisha biashara tafuta namba ya kukopa bila kuweka nyumba dhamana.
Kama kukuza biashara vigezo ni
BIASHARA (6 months+)
BUSINESS LICENCE
HATIMILIKI YA NYUMBA
Na kama sina kazi?Unahitaji biashara/ kazi yenye kipato itakayo onesha unaweza rejesha mkopo huo, ukiambatanisha na details kama ulipaji wako wa kodi, kama una mauzo kwa mfumo watakuja kureview etc
Hapa nina nyaraka tu.Uwe na biashara yenye umri usiopungua miezi sita
Uwe na leseni ya biashara
Uwe na nyaraka halisi za nyumba
Hapa nina nyaraka tu.Mkopo ni kwa ajili ya kukuza biashara au kuanzisha biashara?
Kama kuanzisha biashara tafuta namba ya kukopa bila kuweka nyumba dhamana.
Kama kukuza biashara vigezo ni
BIASHARA (6 months+)
BUSINESS LICENCE
HATIMILIKI YA NYUMBA
Mnaniogopesha mjueMkuu huyu ataipoteza hiyo nyumba
ItakusumbuaHapa nina nyaraka tu.
Sina biashara yangu ila nimeajiriwa kwa mtu.
Na sina leseni ya biashara
Sasa kuna biashara gani ya maana na yenye security bongo?Mnaniogopesha mjue
Sasa kuna biashara gani ya maana na yenye security bongo?
Biashara zote ni za msimu tu
Huko kwingine hapana ni majambazi..yatakufilisi tumia njia ya kuomba mkopo wa kuboresha makazi hapo unaweza kutoboaSawa mkuu Mshana Jr kwa ushauri wako.
Na je nikijaribu kwa hizi kampuni za mikopo labda Letshegho au zingine ambazo si benki naweza kufanikiwa?
Na kama hutajali, naomba nishauri kitu cha kufanya ili niweze fanikisha lengo langu
Sawa sawa.Sasa kuna biashara gani ya maana na yenye security bongo?
Biashara zote ni za msimu tu
Kwahiyo kupata mkopo wa kuboresha nyumba ni rahisi na haufuati vigezo hivo?Huko kwingine hapana ni majambazi..yatakufilisi tumia njia ya kuomba mkopo wa kuboresha makazi hapo unaweza kutoboa