Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

Tanzania hatuna biashara za kuaminika kiasi cha kuweka nyumba yako collateral bank.

Biashara itakufa na nyumba itauzwa.
Kuna jirani yangu alichukua mkopo bank, akaweka nyumba collateral.
Biashara zake;
1. Duka la jumla
2. Duka la rejareja
3. Kukopesha
4. Financial services eg. Mpesa, tigo pesa, nmb, crdb nk.

Jamaa alisitawi sana.
Ghafla mambo yakaharibika, ntumba kali iliuzwa na bank kwa 18m tu.

Jirani wa pili, nyumba ilichorwa na madalali kuwa inauzwa na itapigwa mnada, yeye aliona huu ni ujinga akajifia kwa presha, jspo nyimba yake hsikuuzwa familia iliingilia kati kulipa madeni.
Mkuu iki kupendeza Kama kuna nyumba ziko vizuri, na zina uzwa kisa mambo hayo basi tuwe tuna juzana.
 
Back
Top Bottom