Mkuu nilichelewa kuomba ushauri ila kwa saivi nikijifanya asafiri basi anaweza kujifungua akiwa safarini so nilidhani ni easy ila now Kuna wasiwasi unanijiaHakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;
Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
amesema muda wowote anaweza kujifungua hivyo huyu ni heri asimsafirishe ni bora aje mtu wakumuangalia!, kwasababu sasahivi hata taharuki ndogo tu anaweza kupata uchungu so safari na barabara zetu hizi hapana!..Hakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;
Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
Okay,andaa pesa,peleka hospital apewe huduma privately( premium room/VIP ward)Mkuu nilichelewa kuomba ushauri ila kwa saivi nikijifanya asafiri basi anaweza kujifungua akiwa safarini so nilidhani ni easy ila now Kuna wasiwasi unanijia
Bado wewe nakusubiri kwa hamu siku hiyo unaona hao uliowatag watakuwa hawapo utakuwa ni wewe daktari na ka baby ketu tu...π€£
Hata usiwe na wasiwas Kuna juraniyngu mkewe kajifungua yupo hapohapo na wanaishi wenyew na alikuwa vizuri tu watakuja kukupa muongozo lkn Kwa milazetu km ni mtoto wa kwanza lazima wazazi Huwa wanawaambia mabint Cha kufanyaMkuu nilichelewa kuomba ushauri ila kwa saivi nikijifanya asafiri basi anaweza kujifungua akiwa safarini so nilidhani ni easy ila now Kuna wasiwasi unanijia
Labda huko hospital ila home Sina wasiwasiBado wewe nakusubiri kwa hamu siku hiyo unaona hao uliowatag watakuwa hawapo utakuwa ni wewe daktari na ka baby ketu tu...π€£
Ushauri mzuri ujauzito sio mchezoMpeleke kwa ndugu wa upande wowote mkuu ,, kama wewe ni mtu wa kutoka asubuhi kurudi usiku utampa kazi sana sidhani kama ataweza kujihudumia kwa kipindi cha mwanzo.
πππKama bado hajifungia piga pipe sana utanue njia junior asipate shida kuja duniani!Nakutakia mafanikio mema kamanda!View attachment 3302011
Give us your expeiense
Kma ni wa kwanza ni vyema kuwa na ndugu karibuHakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;
Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
Tafuta demu uwe unamtom.bea mbali. Wanawake kipindi cha mimba kupewa nyappu kipengeleKama bado hajifungia piga pipe sana utanue njia junior asipate shida kuja duniani!Nakutakia mafanikio mema kamanda!View attachment 3302011