Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

Hakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;

Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
Mkuu....
Mimi mke wangu hajawahi kujifungua kwao.
Hakuna rocket science mkuu, tafuta na jiandae kwa mahitaji ya mama kujifungua kisha subiri mkeo ajifungue na hata kumkanda utafanya mwenyewe
 
Haya soma hapo kama bado hujanunua vifaa vya leba akishajifungua anatakiwa ale vyakula vyepes mitori chai wenye pilipili manga na uji wenye pili pili manga Ili maziwa yatoke
Tafuta mtu wa kumsaidia hutoweza ajir hata mtu wa kuja na kuondoka
Hii picha imenitia hasira.
 
Uzoefu wangu:
Nina watoto watatu.Mara zote tulipotarajia mtoto,sikupeleka mke wangu kwa ndugu yeyote,nilikomaa kumhudumia mwenyewe .Naomba ruhusa kazini,nakomaa mwenyewe,kuanzia kumpeleka hospital,kununua vifaa,na huduna baada ya kujifingua.
Be responsible,usibebeshe wengine msalaba wako.
Halafu wanaume tuache kujiendekeza.HAKUNA MWANAUME AMBAYE HAWEZI KUHUDUMIA MZAZI AKIAMUA.
Nilikuwa naamka alfajiri,nadeki,nafua nguo,napika mpaka mke anapopata nguvu za kuendelea na majukumu haya akipona
 
Nunua vifaa vya kujifungulia kama kanga, vitenge, gloves, n.k pia mtoto akizaliwa kuna vitu pia vya kununua kama babyshow, beseni, kofia soksi, vinguo, chupa ya chai na mtori, pia uwe na akiba kidogo ukiondoa hivyo akiba kama ya laki 2 had 3, kuna vigharama vya ajabu vinaingezekaga kama kumuhonga nesi amhudumie vizuri kama ni hospitali ya serikali, usafiri wa taksi, chakula spesho kwa mama na gharama zingine huja wakati huo. Inshort uwe na hela ya akiba si chini ya laki 2 had 5
Ushauri mzuri sana umenifanya nimekumbuka mdogowangu alivojifungua
Tuliandaa kanga doti 5 ila tulizifua kuondoa ule ugumu hata ukiwa na za zamani ambazo hazijachakaa ni sawa na vitenge siikumbuki vingapi kwaajili ya mzazi

kulikuwa na vile vifaa vya kujifunguliawanaita nn sijui inakuwa set mzima
Beseni
Uwe na pesa ya kununua nguo kama alivoeleza hapo juu pamoja na akiba ya kutosha
 
Tafuta demu uwe unamtom.bea mbali. Wanawake kipindi cha mimba kupewa nyappu kipengele
Watanzania wengine bhn ni bure kabisa .. Yaani mtu anauliza ushauri namna ya kumtunza mkewe akiwa uzazi wewe unasema atafute mchepuko awe anapiga huko sasa hiyo ndio itamuongoza jinsi ya kufika hospital??? Itampa experience ya kukanda tumbo??? Namna ya kupika chakula cha bure cha mzazi n.k
 
Mpe muongozo amsaidiaje
CAMANGA
Anunue Vifaa ambavyo ni muhimu kwa mtoto, asisahau kipima joto.

Azijue dalili za hatari kwa mtoto na kwa mama, azionapo awawahishe hospitali.

Azingatie ushauri na maelekezo watakayopewa hospitali.

Awe karibu na mke wake, kama alikuwa anarudi mida imeenda apunguze

Kuwepo na wasaidizi wa kazi hata wawili

Sijajua anajifungua kwa njia gani,
Ila USAFI,
Kama ni kwa upasuaji, Usafi kwenye kidonda ni muhimu. Kidonda kisafishwe hospitali.
Kama ni njia ya kawaida usafi pia ni muhimu.

Mengine wameshauri wadau.
 
Asante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali.....mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
Sasa,ngoja nikupe experience ya nini Cha kufanya kwa namna nilivyohudumiwa na mama...
1.Mwambie hongera na mshukuru wakati wote(inaondoa stress,akiwa hana stress ziwa halichafuki hivyo humpunguzia mtoto kuhara au kuumwa tumbo)

2.Kumpikia mtori,kama ana operation usiwe wa mhogo.. kwenye mtori huku kwetu mbeya hatusahau karanga,au tui la Nazi au maziwa

3.Msaidie kubembeleza mtoto anapolia,pale mnapokuwa pamoja

4.msaidie kufua vinguo vya mtoto,usione haya ni kawaida sana kufua nguo za mwanao

5.msaidie kumwandalia maji ya kuoga,kama unaweza basi mwogeshe kabisa

6.msaidie kumfanyisha zoezi....asilale tu muda wote,mtoto akilala atembee kidogo nje,ajishughulishe na vikazi kidogokidogo...ni zoezi tosha

7.Mpe muda mrefu kidogo bila kusex nae...at least miezi 3 kama utaweza...japo tunaambiwa ni siku 40 tu shughuli ianze tena

8.Kumbuka kuoga ukitoka kuchepuka...usimshike mtoto kabla hujajisafisha mwili... please
 
Okay,andaa pesa,peleka hospital apewe huduma privately( premium room/VIP ward)

Mungu anisaidie,mke wangu nampeleka hospital nzuri,room ya peke yake,naanda hela ya kutosha tu awe salama.

Hope 3m inatosha kwa dharura na kila kitu hapo.

Ukiweza, tafuta nurse,awe anakuja kukusaidia,mlipe privately ,yatapita tu haya mkuu.

NI KWELI HUYO ALISAFIRI.
3M mtu kujifungua tu,makubwa haya.
 
Asante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali...Mimi binafsi nilibahatika ndoa ila sikubahatika mume....wanangu wote wawili mbali na operation nilizofanyiwa...mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
Sasa,ngoja nikupe experience ya nini Cha kufanya kwa namna nilivyohudumiwa na mama...
1.Mwambie hongera na mshukuru wakati wote(inaondoa stress,akiwa hana stress ziwa halichafuki hivyo humpunguzia mtoto kuhara au kuumwa tumbo)

2.Kumpikia mtori,kama ana operation usiwe wa mhogo.. kwenye mtori huku kwetu mbeya hatusahau karanga,au tui la Nazi au maziwa

3.Msaidie kubembeleza mtoto anapolia,pale mnapokuwa pamoja

4.msaidie kufua vinguo vya mtoto,usione haya ni kawaida sana kufua nguo za mwanao

5.msaidie kumwandalia maji ya kuoga,kama unaweza basi mwogeshe kabisa

6.msaidie kumfanyisha zoezi....asilale tu muda wote,mtoto akilala atembee kidogo nje,ajishughulishe na vikazi kidogokidogo...ni zoezi tosha

7.Mpe muda mrefu kidogo bila kusex nae...at least miezi 3 kama utaweza...japo tunaambiwa ni siku 40 tu shughuli ianze tena

8.Kumbuka kuoga ukitoka kuchepuka...usimshike mtoto kabla hujajisafisha mwili... please
Mambo mazuri kabisa hiyo namba 8 asisahau nasikia ni mbaya sana unaweza mtia mabalaa na nuksi mtoto japo Sina hakika
 
Pale waafrika wanavyoiga uzungu.
 
1. Andaa pesa za kutosha, uzazi una mambo mengi hasa kama kutakuwa na complications wakati wa labor.

2. Usipuuze dalili zozote anazokuambia, hata akikuambia nataka kwenda chooni repeatedly, ni alert hiyo, ukizingua unaweza kuchangaa mtoto analia ukiwa usingizini.

3. Baada ya kujifungua sio issue sana, yanafanyika tu, kufua, kupika uji, chai, maziwa, mtori....kama hujui hapo ndio changamoto. Usije kumlisha mzazi makande🤣🤣

Hongera sana baba kijacho, it's a special feeling asikwambie mtu.
 
Back
Top Bottom