1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
mie huwa zinamtesa hadi huruma, huwa nampeleka home akajifungue, ila ntajitahidi nami ajifungulie hapahapa
Inategemea na neighbourhood. Kuna sehemu mwanamke akielekea ama akitoka kujifungua. Si nzuri kushikwashikwa au kuhudumiwa na watu wengi maana kila mtu huwa na nia na lengo lake.Labda huko hospital ila home Sina wasiwasi
Bahat nzuri napendwa na majirani vibaya mno Yani watapokezana wodini 😃😃
Last week nilishikwa na tumbo Ile kisawasawa had kutembea siwez, Yan simu moja tu nimeletewa maji ya moto sijakata sawa nimekandwa dakika 10 tu naona bajaji nipelekwe hospitali 😂😂😂
Hivi kumbe hujawahi kwenda labor, unasubiri nini ewe binti🤣🤣Who,?which?where?😂😂😂
Nakumbuka tu nasikiaga amsaidie kujisafisha huku chini wanasema hawafikii
Tulipo jifungua mtoto wetu wa 8, nilinyimwa likizo nikaamua kuacha kazi ili tukamlee mtoto wetuHongera sana
Ni kweli lakin pia haikuwa ujauzito kwetu haitakiwi kabisa ujauzito wa kwanza ni lazima uwe na mzazi au ndugu wa karibu km huwez kurudi lazima wao waje had ujifungue na uoge arobaini ndo wanaondokaInategemea na neighbourhood. Kuna sehemu mwanamke akielekea ama akitoka kujifungua. Si nzuri kushikwashikwa au kuhudumiwa na watu wengi maana kila mtu huwa na nia na lengo lake.
Ni vizuri awe ndugu ama mtu wa kuheshimiana nae sana ndio akuhudumie katika uzazi maana hakuna kipindi mwanamke anakuwa vurnalable kiakili, kihisia, kiroho, kiusafi na kwenye chakula kama kipindi cha uzazi.
Nimesema tu kwa nilioyaona. So sio lazma experiences zifanane. All the best
Inaonekana ni baba bora sana mkuu. Maana kupitia comments zako nilizoziona ni kama kila kitu huwa ni rahisi kwako hususani kimalezi na kifamilia.Mkuu....
Mimi mke wangu hajawahi kujifungua kwao.
Hakuna rocket science mkuu, tafuta na jiandae kwa mahitaji ya mama kujifungua kisha subiri mkeo ajifungue na hata kumkanda utafanya mwenyewe
😂😂😂Sijapata bwana😂😂😂Hivi kumbe hujawahi kwenda labor, unasubiri nini ewe binti🤣🤣
Nimekupata vizuri sana kiongozi, shukrani sana nimepata kituAsante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali...Mimi binafsi nilibahatika ndoa ila sikubahatika mume....wanangu wote wawili mbali na operation nilizofanyiwa...mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
Sasa,ngoja nikupe experience ya nini Cha kufanya kwa namna nilivyohudumiwa na mama...
1.Mwambie hongera na mshukuru wakati wote(inaondoa stress,akiwa hana stress ziwa halichafuki hivyo humpunguzia mtoto kuhara au kuumwa tumbo)
2.Kumpikia mtori,kama ana operation usiwe wa mhogo.. kwenye mtori huku kwetu mbeya hatusahau karanga,au tui la Nazi au maziwa
3.Msaidie kubembeleza mtoto anapolia,pale mnapokuwa pamoja
4.msaidie kufua vinguo vya mtoto,usione haya ni kawaida sana kufua nguo za mwanao
5.msaidie kumwandalia maji ya kuoga,kama unaweza basi mwogeshe kabisa
6.msaidie kumfanyisha zoezi....asilale tu muda wote,mtoto akilala atembee kidogo nje,ajishughulishe na vikazi kidogokidogo...ni zoezi tosha
7.Mpe muda mrefu kidogo bila kusex nae...at least miezi 3 kama utaweza...japo tunaambiwa ni siku 40 tu shughuli ianze tena
8.Kumbuka kuoga ukitoka kuchepuka...usimshike mtoto kabla hujajisafisha mwili... please
Pole Sana mkuu, maumivu yako ni mazitoHata usihofu mimi nlishatoboa mara 2 bila kuwa na mtu mwngn ni mimi na mwanamke wng tu thanks GOD ALITUTETEA bt nasikitika sn mtoto mmojawapo alishafariki akiwa ameshakuwa na miaka 2 mpk leo naumia sn KWAHERI SUCCESS MUNGU AZIDI KUWA NAWE HUKO ULIKO still baba yako ninakukumbuka sn nisamehe nlipowahi kukukosea kama baba yako byeeee.
Yeah ni tamaduni zetu hizi ili kulinda stara ya watu. Ni sawa na mtu akifariki, ndugu mara nyingi wanahusika ili kulinda utupu wa ndugu yao. Maana wengine wakiona wanaweza hata kutangazaNi kweli lakin pia haikuwa ujauzito kwetu haitakiwi kabisa ujauzito wa kwanza ni lazima uwe na mzazi au ndugu wa karibu km huwez kurudi lazima wao waje had ujifungue na uoge arobaini ndo wanaondoka
Haujakosea mkuu....Inaonekana ni baba bora sana mkuu. Maana kupitia comments zako nilizoziona ni kama kila kitu huwa ni rahisi kwako hususani kimalezi na kifamilia.
Kama unakuwa involved kwenye maisha ya mke na watoto wako kiasi hicho, hongera sana 👏🏾👏🏾
Ni sahihi kabisa mkuu uangakuz ni muhimu sanaKuna vingi, na kama imeshindikana bhasi baba wa mtoto awe involved kwa asilimia nyingi na aheshimu mabadiliko ya mkewe kimwili na kihisia. Maana wengine mtoto akilia sana na yeye anaanza kulia
Mkuu kama una noti unatuma tu ndugu upande wa mke anakuja mlipo ndo anashughurika na ndugu yake wewe ni pesa tu unatoa hakuna wasi mambo haya ni madogo sana kama Haina noti ndo kimbembe mtafutano😁Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
Wauguzi hawana dogo 😃ela muhimuMkuu kama una noti unatuma tu ndugu upande wa mke anakuja mlipo ndo anashughurika na ndugu yake wewe ni pesa tu unatoa hakuna wasi mambo haya ni madogo sana kama Haina noti ndo kimbembe mtafutano😁
Asante kwa kunitag mai 💕
Si ndo nasemaWauguzi hawana dogo 😃ela muhimu
Hv kuongezewa njia ndio anachanwa K na kiwembe?Kama mtoto wa pili , mkeo atakuelekeza nini Cha kufanya Kila la kheri...
Ila omba asiongezewe njia au Op nje ya hapo anatoboa tu peke yake...
Hongera mkuuHaujakosea mkuu....
Ukifuatilia sana comments zangu, kuna jambo utakuja kubaini kuhusu mimi na familia yangu mazeeee.... we are all good and humble
Una ela? Tafuta nesi awe anamsaidia home simpleHello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..