KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Unapendwa eeee!..Labda huko hospital ila home Sina wasiwasi
Bahat nzuri napendwa na majirani vibaya mno Yani watapokezana wodini 😃😃
Last week nilishikwa na tumbo Ile kisawasawa had kutembea siwez, Yan simu moja tu nimeletewa maji ya moto sijakata sawa nimekandwa dakika 10 tu naona bajaji nipelekwe hospitali 😂😂😂
sasa tulia utakavyokuwa unanitukana matusi mazito huko leba mara "kenzy wewe ni kasongoo yeyeee!"
hapo jirani hayupo ni wewe na nesi halafu nesi Sura ya baba!...🤣