SIO KWELI KWASABABU WENGINE TUNAVAA KAMA FASHION TU, TENA TUPO SINGLEKuna kauli nilisikia mahala" ukiona wapenz wamevaa sare iliyoshonwa kwa vitenge,kaa ukijua hapo mwanaume anaburuzwa!!".
Jitahidi usome nilichoandika,nimeelezea wapenzi( couple) na sio single kama unavyojipigia debe hapa jf.SIO KWELI KWASABABU WENGINE TUNAVAA KAMA FASHION TU, TENA TUPO SINGLE
Umenikumbusha mbali mkuu, kuna jamaa mmoja (classmate) wangu tumepiga nae chuo, alikuwa na manzi wake yan alikuwa akija kwa msela (kutoka mkoani) anakuja ameshona sare za vitenge na bwana ake, asiee huyo jamaa alikuwa hahemi kwa dem wake, boom likiingia lote dem ndo anamiliki ATM card, jamaa alitoka chuo weupe hana hata mia.na walishaachana mpaka.sasa.Kuna kauli nilisikia mahala" ukiona wapenz wamevaa sare iliyoshonwa kwa vitenge,kaa ukijua hapo mwanaume anaburuzwa!!".
Mkuu usikubali upuuzi huo,Ni mchumba bado sijamuoa sasa basi,kuna sherehe tumealikwa inabidi niende nae sasa ananilazimisha Nivae sare na yeye .
kanishonea shati la kitenge .
Sasa wadau hii ishu siielewi nimekataa kanuna mbaya.
Wazoefu wa kupigilia sare za vitenge nipeni uzoefu kwa mke nahisi ni sahihi lakini kwa mchumba kwangu bado ni utata.
Nimejifunza kituUmenikumbusha mbali mkuu, kuna jamaa mmoja (classmate) wangu tumepiga nae chuo, alikuwa na manzi wake yan alikuwa akija kwa msela (kutoka mkoani) anakuja ameshona sare za vitenge na bwana ake, asiee huyo jamaa alikuwa hahemi kwa dem wake, boom likiingia lote dem ndo anamiliki ATM card, jamaa alitoka chuo weupe hana hata mia.na walishaachana mpaka.sasa.
Nilikuwa sijui haya Mambo ya dare ya vitenge Yana maana gani. Mchepuko wangu ulikomaa kinoma tushone Sare Sare, ila Mimi sio muumini wa hizi swaga. So, nikakataa. Kumbe ningeshona Tu, ingekula kwangu Kwa mother house. Shati la kitenge Kwa mwanaume kumbe halivaliwi hovyohovyo.Ni mchumba bado sijamuoa sasa basi,kuna sherehe tumealikwa inabidi niende nae sasa ananilazimisha Nivae sare na yeye .
kanishonea shati la kitenge .
Sasa wadau hii ishu siielewi nimekataa kanuna mbaya.
Wazoefu wa kupigilia sare za vitenge nipeni uzoefu kwa mke nahisi ni sahihi lakini kwa mchumba kwangu bado ni utata.
😂😂😂😂Kuna kauli nilisikia mahala" ukiona wapenz wamevaa sare iliyoshonwa kwa vitenge,kaa ukijua hapo mwanaume anaburuzwa!!".