Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

Sasa wakati Kama huo ndio tunawakumbuka wale panya wanaokula nguo..[emoji23]
Unatamani atokee aitafune kwenye mgongo au kwenye kola au kwenye mabega! Na sahivi watokee wapi wakati ulishawauwa..[emoji28]

Mkuu kama unatumeno twa panya ifanye hiyo kazi mwenyewe.. tatua tatizo .
Ukinipata jiandae kuvaa sare za vitenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehe mimi nkiona kaka kavaa shati la kitenge moja kwa moja napata picha ana mtu wake aliyeshona kipande kilichobaki...hivyo dada hapo anajihami asiibiwe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kipande kingine ameshona mtu wake duhhh watu wanamahesabu
 
Hehehe mimi nkiona kaka kavaa shati la kitenge moja kwa moja napata picha ana mtu wake aliyeshona kipande kilichobaki...hivyo dada hapo anajihami asiibiwe.
Hahaha, wewe ni mtata....kuna miaka fulani Katibu Mkuu wa W/Viwanda na Biashara alikuwa anawataka wafanyakazi wa wizara yake wavae mavazi kama vitenge siku ya Ijumaa. Wenzako walilazimika kufanya hivyo. "Kaka" wa kutoka hapo wizarani nahisi kipande kingine kitakuwa kwa Katibu Mkuu
 
Mimi ningekubali tukashona kila kitu safi....

siku ya tukio kwenda kwenye hiyo sherehe....

najifanya naumwa mixer kujitapisha yani sitoki ndani ng'o...
 
Tena nakushonea mwenyewe [emoji847][emoji4][emoji2960]
🤣🤣 We si ndo utaweka na mifuko mikubwa ya kuwekea na Bible! Kama ni hivyo walahi we mwanamke bora ubaki kuwa mtumishi wa bwana tu usiolewe mtumikie yesu tu..😂
 
[emoji1787][emoji1787] We si ndo utaweka na mifuko mikubwa ya kuwekea na Bible! Kama ni hivyo walahi we mwanamke bora ubaki kuwa mtumishi wa bwana tu usiolewe mtumikie yesu tu..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushonea zurizuri utapenda mwenyewe [emoji2960]
Tutamtumikia Bwana pamoja[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Mimi na nyumba yangu
 
Back
Top Bottom