YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 42
- Thread starter
-
- #21
Simple clear, maelezo yameeleweka 100%Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
Ahahaha kuna order moja niliagizaga kava la simu kwa free shipping, ilichelewa balaa Linakuja kunifikia simu nishauza[emoji1][emoji1]Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
hiyo hiyokcamp euca Baba Rhobi kimsboy dronedrake
Msaada wakuu nataka niagize saa aliexpress, sasa nimetengeneza mpesa mastercard napata huu ujumbe
'transaction not supported by card issuer. transaction of tsh ******* on card ending ****. do not try this again.
Nyinyi mnalipia kwa njia gani? au nakosea wapi?
Mimi natumia kila wakati MPESA VISA ,hiyo master card nadhani ilikuwa zamani..Kama unatumia app ya Mpesa utaona VISA hamna master cardkcamp euca Baba Rhobi kimsboy dronedrake
Msaada wakuu nataka niagize saa aliexpress, sasa nimetengeneza mpesa mastercard napata huu ujumbe
'transaction not supported by card issuer. transaction of tsh ******* on card ending ****. do not try this again.
Nyinyi mnalipia kwa njia gani? au nakosea wapi?
ngoja nitumie appMimi natumia kila wakati MPESA VISA ,hiyo master card nadhani ilikuwa zamani..Kama unatumia app ya Mpesa utaona VISA hamna master card
Usipende Mambo ya free shipping kwenye AliExpress na pale chini wamekuandikia 60 days inamaa hiyo ni miezi 2 na hata zaidi inaweza chukua...ukikuta Aliexpress standard hiyo ndio zuri na huwa inakuwa ndani ya mwezi na shipping cost unaziona hapoAhahaha kuna order moja niliagizaga kava la simu kwa free shipping, ilichelewa balaa Linakuja kunifikia simu nishauza[emoji1][emoji1]
Zingatia jifunze kuzitofautisha hizi terms ,buyer protection time 60days.Usipende Mambo ya free shipping kwenye AliExpress na pale chini wamekuandikia 60 days inamaa hiyo ni miezi 2 na hata zaidi inaweza chukua...ukikuta Aliexpress standard hiyo ndio zuri na huwa inakuwa ndani ya mwezi na shipping cost unaziona hapo
kama kadi ina hela na kila kitu ulijaza fresh, wapigie huduma kwa wateja watakusaidia ila mi hutumia hiyo hiyo na sijawai pata hiyo changamoto.kcamp euca Baba Rhobi kimsboy dronedrake
Msaada wakuu nataka niagize saa aliexpress, sasa nimetengeneza mpesa mastercard napata huu ujumbe
'transaction not supported by card issuer. transaction of tsh ******* on card ending ****. do not try this again.
Nyinyi mnalipia kwa njia gani? au nakosea wapi?
Uko sahihi, mimi niliagiza tarehe 20/12/2020 mzigo nikapata 18/03/2022. Hadi nilishasahau.Free shipping inachelewa sana.
Niliagiza 15/04/2021
Mzigo umefika 14/05/2022. Baada ya mwaka mmoja! Nilipopokea ujumbe kwamba posta kuna Parcel yangu nilianza kujiuliza mbona sijaagiza kitu!
Mara nyingi ni seller wanakuwa miyayusho wanaweka tracking za uongo, muhimu uchek wale wenye rate nzuri, mi mara zote napataga on time tu hata za free shipping sometimesSijajua shida ipo Posta au wapi, mwaka jana niliagiza bidhaa AliExpress kwenye tracking ilionesha bidhaa imefika nchini mwangu ila mpaka leo sijapokea,
Uzito, shipping ya ndege inaathiriwa sana na uzito.Ttz ambalo nakutana nayo unakuta bei ya kifaa iko cheap, gharama za usafiri ndio hatar...mfano unakuta kifaa kina range 40k - 50k, shipping cost 72k
Cainiao niliagiza sept 2021 kufika August 2022😁😁ukiona cainiao super economy global toroka usitumie njia hiyo imenitokea nks agiza mzigo mwezi wa sita mwaka jana nimeipata mwaka huu januari.
Free shiping ni shida, mm mzigo uko dar, wiki ya tatu sasa haujafika morogorostandard unachuku muda gani? Mi nikiangiza kwa kitonga cha free shipping uwa inachukua mwezi mzima.
Kuna seller wako vizuri nlicheki nikiagiza kitu kimoja atalipa shipping ..hapa naona anachanganya na mizigo yake ,,nikaangalia tena what if nikichukua same product but 2pcs nikaona atatumia AliExpress standard shipping ila kwangu ni free gharama kwake ..pia nikaselect 3 and above atumia DHL gharama kwake 7daysLogic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.