Wazoefu wa Aliexpress

Wazoefu wa Aliexpress

Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
Simple clear, maelezo yameeleweka 100%
 
Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
Ahahaha kuna order moja niliagizaga kava la simu kwa free shipping, ilichelewa balaa Linakuja kunifikia simu nishauza[emoji1][emoji1]
 
kcamp euca Baba Rhobi kimsboy dronedrake

Msaada wakuu nataka niagize saa aliexpress, sasa nimetengeneza mpesa mastercard napata huu ujumbe

'transaction not supported by card issuer. transaction of tsh ******* on card ending ****. do not try this again.

Nyinyi mnalipia kwa njia gani? au nakosea wapi?
Mimi natumia kila wakati MPESA VISA ,hiyo master card nadhani ilikuwa zamani..Kama unatumia app ya Mpesa utaona VISA hamna master card
 
Ahahaha kuna order moja niliagizaga kava la simu kwa free shipping, ilichelewa balaa Linakuja kunifikia simu nishauza[emoji1][emoji1]
Usipende Mambo ya free shipping kwenye AliExpress na pale chini wamekuandikia 60 days inamaa hiyo ni miezi 2 na hata zaidi inaweza chukua...ukikuta Aliexpress standard hiyo ndio zuri na huwa inakuwa ndani ya mwezi na shipping cost unaziona hapo
 
Zingatia jifunze kuzitofautisha hizi terms ,buyer protection time 60days.
Estimated delivery time na so on
 
kcamp euca Baba Rhobi kimsboy dronedrake

Msaada wakuu nataka niagize saa aliexpress, sasa nimetengeneza mpesa mastercard napata huu ujumbe

'transaction not supported by card issuer. transaction of tsh ******* on card ending ****. do not try this again.

Nyinyi mnalipia kwa njia gani? au nakosea wapi?
kama kadi ina hela na kila kitu ulijaza fresh, wapigie huduma kwa wateja watakusaidia ila mi hutumia hiyo hiyo na sijawai pata hiyo changamoto.
 
Mzigo utafika, kuwa makini na seller wako tu kama yupo poa mengine hayana shida
 
Sijajua shida ipo Posta au wapi, mwaka jana niliagiza bidhaa AliExpress kwenye tracking ilionesha bidhaa imefika nchini mwangu ila mpaka leo sijapokea,
 
Free shipping inachelewa sana.
Niliagiza 15/04/2021
Mzigo umefika 14/05/2022. Baada ya mwaka mmoja! Nilipopokea ujumbe kwamba posta kuna Parcel yangu nilianza kujiuliza mbona sijaagiza kitu!
Uko sahihi, mimi niliagiza tarehe 20/12/2020 mzigo nikapata 18/03/2022. Hadi nilishasahau.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Sijajua shida ipo Posta au wapi, mwaka jana niliagiza bidhaa AliExpress kwenye tracking ilionesha bidhaa imefika nchini mwangu ila mpaka leo sijapokea,
Mara nyingi ni seller wanakuwa miyayusho wanaweka tracking za uongo, muhimu uchek wale wenye rate nzuri, mi mara zote napataga on time tu hata za free shipping sometimes
 
Mkuu I Ali express my unapaswa kuona seller Kwanzaa I he ni free shipping au sio sas kuna muda unaplace order to kumbe sio free
Lakin wakat mwingn angalia kapewa rating of kias gan huy seller
 
Ttz ambalo nakutana nayo unakuta bei ya kifaa iko cheap, gharama za usafiri ndio hatar...mfano unakuta kifaa kina range 40k - 50k, shipping cost 72k
 
Uzito, shipping ya ndege inaathiriwa sana na uzito.

Kama kitu chako ni kizito sana Bora utumie Meli loose cargo (Assume unanunua vingi angalau Cubic metre moja)
 
Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
Kuna seller wako vizuri nlicheki nikiagiza kitu kimoja atalipa shipping ..hapa naona anachanganya na mizigo yake ,,nikaangalia tena what if nikichukua same product but 2pcs nikaona atatumia AliExpress standard shipping ila kwangu ni free gharama kwake ..pia nikaselect 3 and above atumia DHL gharama kwake 7days
 
Back
Top Bottom