Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Ondoa shaka mkuu, wapo vizuri sana, soma hata review zao. Mimi ndiyo niliagiza hiyohiyo tablet mkuu, na shipping ikachukua week mbili.Hii kitu ndo nataka niagize na mimi ila nasita kwenye uhakika wa kuletewa,, vipi kodi makato yake ikishafika huku ni asilimia ngapi ya manunuzi?
Posta utalipa buku 6 kama sikosei...Hii kitu ndo nataka niagize na mimi ila nasita kwenye uhakika wa kuletewa,, vipi kodi makato yake ikishafika huku ni asilimia ngapi ya manunuzi?
Unaagiza simu ngapiHivi ukiagiza product kama simu, vipi kuhusu mambo ya kulipia kodi mzigo ulkifika Tanzania?
Moja tuUnaagiza simu ngapi
Utalipia handling fees tu ambayo ni 2350Moja tu
Asante mkuuUtalipia handling fees tu ambayo ni 2350
Niliwahi agiza nao mzigo hao Caniao mwaka jana ni vi percels vidogo tu ila vilitumia mwaka mmoja na miezi 6 kuja TZ, nlkua nisha sahau kabisa kama nimeagiza mzigo Aliexpress mpaka meseji ya posta ikanikumbusha...Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
Mimi pia mkuu, mzigo wa mwaka jana mwezi wa 9 nimepokea juzi tu hapa.Niliwahi agiza nao mzigo hao Caniao mwaka jana ni vi percels vidogo tu ila vilitumia mwaka mmoja na miezi 6 kuja TZ, nlkua nisha sahau kabisa kama nimeagiza mzigo Aliexpress mpaka meseji ya posta ikanikumbusha...
Tangu lini huo mfumo wa posta ukawa reliable?..Sijajua shida ipo Posta au wapi, mwaka jana niliagiza bidhaa AliExpress kwenye tracking ilionesha bidhaa imefika nchini mwangu ila mpaka leo sijapokea,
Kuna jamaa wapo pale opposite na ubungo plaza between ubungo plaza na ofisi ya kata wanafanya hio hudumaKampuni gani Tanzania wako well recognized na Alibaba kwa kusafirisha parcel kwa njia ya
ndege na melk
WanaitwajeK
Kuna jamaa wapo pale opposite na ubungo plaza between ubungo plaza na ofisi ya kata wanafanya hio huduma