Kwa wale ambao hawana mitaji ya kutrade forex
Kuna kitu kinaitwa BONUS
, Hii Ni hela ambayo broker anakupa bure ili uweze kutrade na ukipata faida unaitoa Kama kawaida endapo utakidhi vigezo na masherti ya bonus hiyo..
Sasa TEMPLERFX anatoa $30 Kama bonus kwa wale ambao wamekosa mtaji wa kufund account zao .
Inaitwa $30 NON DEPOSIT BONUS
Vigezo na masherti ya kupata NON DEPOSIT BONUS KUTOKA TEMPLERFX.
1.Unatakiwa ujisajili na broker TEMPLERFX.
2. Kisha uverify Taarifa zako Kama EMAIL, NAMBA YA SIMU na KITAMBULISHO CHAKO .
Ndani ya masaa 72 baada ya kuwatumia picha ya kitambulisho chako watakuwa wameverify account yako.
3.Bonus Request
Baada ya kumaliza kujisajili pamoja na Mambo ya verification , utaclick BONUS , Hafu Utaclick "Request NDB $30"
Baada ya hapo utapokea email yenye Login details ya account yako mpya ambayo imepatiwa hiyo $30 , utacopy zile details hafu utaenda kwenye platform ya mt4 utazi-paste . Anza kutrade.
ILI UWEZE KUWITHDRAW BONUS BAADA YA KUTRADE Inatakiwa ufuate masherti yafuatayo.
1.Bonus utakayopewa Ni valid kwa siku 30 tu, baada ya hapo haitakuwa valid Tena. Kwa hiyo itabidi utrade ndani ya siku hizo 30.
2. Unaruhusiwa kutoa faida utakayoipata baada ya kutrade kwa trades zenye volume lot size 5 (5 lots) ndani ya hizo siku 30.
Hapa naomba nielekeze kidogo .
Sio kwamba unalatakiwa Kutumia 5 lotsize utakavyoopen trade yako .
Bali lotsize yoyote unaruhusiwa Ila baada ya siku 30 lotsize ulizokuwa unatumia jumla zifikie sawa na Lot size 5 au zaidi.
Tuchukulie utatumia lotsize ya 0.01 itabid utrade na hiyo lotsize Mara 500 ndani ya siku hizo 30.
Kama utaamua Kutumia lotsize ya 0.05 itabidi utrade kwa Kutumia hiyo lotsize Mara 100 ndani ya hizo siku 30.
Kama utatumia lotsize ya 0.10 itabidi utrade na hiyo lotsize Mara 50 ndani ya hizo siku 30.
Unaruhusiwa kubadilisha lotsize kadri ya utakavyoona opportunity yako imekaaje sokoni ,sio kwamba ukianza na lotsize ya 0.05 ndo utumie hiyohyo tu Hadi siku 30 hapana , unaruhusiwa kubadilisha , Ila baada ya siku 30 jumla ya lotsize ulizotumia zifikie sawa na 5 lotsize.
[emoji1485]Kumbuka BONUS hii unapewa Mara moja tu .
[emoji1485] Yeyote aliyejisajiri TEMPLERFX anaruhusiwa kuomba bonus hii na anapata endapo Taarifa zake zimeshaverified
[emoji1485] Profit na bonus ndo unaweza kuwithdraw pamoja na kufanya internal transfer Kama umekidhi vigezo na masherti.
Kama hujajisajiri TEMPLERFX unaweza kujisajili Sasa kwa kubonyeza link hii ili kupata bonus
Sign up - TemplerFX members area