Wazoefu wa Forex

Wazoefu wa Forex

Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesafx ndo nani huyo. Yuko regulated na mamlaka ipi, maana hilo jina 'pesa' litakuwa local mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesafx ni broker wa Kenya[emoji2]
Mimi naamini brokers waliosajiriwa nchi kama UK, US, Netherland, Swiss, Australia, France. Sasa Kenya kuna uhakika gani. Hata Templer mwenyewe siwezi weka hela nyingi sembuse Kenya. Uko siweki kitu.
 
Back
Top Bottom