T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Pesafx ndo nani huyo. Yuko regulated na mamlaka ipi, maana hilo jina 'pesa' litakuwa local mno.Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app