Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanaotrade Kama business huwa wanafanya wenyewe.Habari zenu wadau
Kwa wale matrader wa forex je kutrade manual Na kutrade kupitia EA(Expert Advisor) kipi kizuri Na kina profit.
Experience make perfect, trade your self..Ipi ni accurate zaidi?
Habari zenu wadau
Kwa wale matrader wa forex je kutrade manual Na kutrade kupitia EA(Expert Advisor) kipi kizuri Na kina profit.
Ni Jambo la kufikirisha Sana! tengeneza algorithm yako (EA) aka robot li optimize kwenye pair chache kwa setting tofauti.
Fungulia robot kwenye soko, though faida inaweza kuwa ndogo Ila Ipo consistent.
Nafikiri high frequency trading ndio future ya fx.
Dah nimekuelewa sana mkuuRobot linaweza kuwa simple kwa kuweka;
Harmonic scanner (pattern),
+
ichimoku(trend), confirm kwa Holly channel..
+
RSI (signal)
+
ATR kuweka SL, TP
Robot linaweza kutaarifiwa kuepuka news etc.
Robot linaweza kutengenezwa litafute pips 10 za faida kwa each trade Kama linatrade pair 5 kwa accuracy ya 75% wewe upo vema, linaweza kufika pips 1000/day.
AI (EA) ndio kila kitu.
Pigeni analysis mpige pips,Kwa wale ambao hawana mitaji ya kutrade forex
Kuna kitu kinaitwa BONUS
, Hii Ni hela ambayo broker anakupa bure ili uweze kutrade na ukipata faida unaitoa Kama kawaida endapo utakidhi vigezo na masherti ya bonus hiyo..
Sasa TEMPLERFX anatoa $30 Kama bonus kwa wale ambao wamekosa mtaji wa kufund account zao .
Inaitwa $30 NON DEPOSIT BONUS
Vigezo na masherti ya kupata NON DEPOSIT BONUS KUTOKA TEMPLERFX.
1.Unatakiwa ujisajili na broker TEMPLERFX.
2. Kisha uverify Taarifa zako Kama EMAIL, NAMBA YA SIMU na KITAMBULISHO CHAKO .
Ndani ya masaa 72 baada ya kuwatumia picha ya kitambulisho chako watakuwa wameverify account yako.
3.Bonus Request
Baada ya kumaliza kujisajili pamoja na Mambo ya verification , utaclick BONUS , Hafu Utaclick "Request NDB $30"
Baada ya hapo utapokea email yenye Login details ya account yako mpya ambayo imepatiwa hiyo $30 , utacopy zile details hafu utaenda kwenye platform ya mt4 utazi-paste . Anza kutrade.
ILI UWEZE KUWITHDRAW BONUS BAADA YA KUTRADE Inatakiwa ufuate masherti yafuatayo.
1.Bonus utakayopewa Ni valid kwa siku 30 tu, baada ya hapo haitakuwa valid Tena. Kwa hiyo itabidi utrade ndani ya siku hizo 30.
2. Unaruhusiwa kutoa faida utakayoipata baada ya kutrade kwa trades zenye volume lot size 5 (5 lots) ndani ya hizo siku 30.
Hapa naomba nielekeze kidogo .
Sio kwamba unalatakiwa Kutumia 5 lotsize utakavyoopen trade yako .
Bali lotsize yoyote unaruhusiwa Ila baada ya siku 30 lotsize ulizokuwa unatumia jumla zifikie sawa na Lot size 5 au zaidi.
Tuchukulie utatumia lotsize ya 0.01 itabid utrade na hiyo lotsize Mara 500 ndani ya siku hizo 30.
Kama utaamua Kutumia lotsize ya 0.05 itabidi utrade kwa Kutumia hiyo lotsize Mara 100 ndani ya hizo siku 30.
Kama utatumia lotsize ya 0.10 itabidi utrade na hiyo lotsize Mara 50 ndani ya hizo siku 30.
Unaruhusiwa kubadilisha lotsize kadri ya utakavyoona opportunity yako imekaaje sokoni ,sio kwamba ukianza na lotsize ya 0.05 ndo utumie hiyohyo tu Hadi siku 30 hapana , unaruhusiwa kubadilisha , Ila baada ya siku 30 jumla ya lotsize ulizotumia zifikie sawa na 5 lotsize.
[emoji1485]Kumbuka BONUS hii unapewa Mara moja tu .
[emoji1485] Yeyote aliyejisajiri TEMPLERFX anaruhusiwa kuomba bonus hii na anapata endapo Taarifa zake zimeshaverified
[emoji1485] Profit na bonus ndo unaweza kuwithdraw pamoja na kufanya internal transfer Kama umekidhi vigezo na masherti.
Kama hujajisajiri TEMPLERFX unaweza kujisajili Sasa kwa kubonyeza link hii ili kupata bonus Sign up - TemplerFX members area
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
Templer TemplerFX | Promo
Mkuu Templer gani iyo unayosema wewe? Na utawatumiaje email then unataka kujibiwa haraka?Nina templer account,ila naitumia kimachale sana kwa kuzingatia kuwa usajili wao upo questionable!! Yaani ni kama black market hivi, hawajasajiliwa popote na taasisi yoyote inayotambulika kimataifa,hawana customer service ya kueleweka na hata ukituma Email kwao hawa respond in time,ila nawatumia kwa cent account kama tu Demo account,siwezi kuweka 500$ zangu kwa templer!! Its a risk.