Wazoefu wa Forex

Mkuu hebu acha kupotosha umma bila sababu ya msingi ,Templer
 
Mgeni uyo mkuu kwenye anga izo msamehe t
 
Mkuu Templer gani iyo unayosema wewe? Na utawatumiaje email then unataka kujibiwa haraka?

Ingia kwenye chat room yao ile ya online kwenye account yako uone, wako fasta kweli na wana customer service nzuri sana.
Afadhali umempa elimu.
 
Kama wewe ni fundamental trader naomba uje PM tuongee
 
For telegram user

Anayehitaji kujifunza
*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and pysiology behind its formation
*Supply and demand strategy

ajoin telegram chanel

👇🏽
Forex lesson tanzania (swahili)
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Hahaha 😂 unaongea utadhani ni rahisi, hakuna mtu mwenye trading algorithm ambayo inaguarantee faida, unamwambia mtu ambaye hana hata background yoyote atengeneze algorithm ya trading? Haha unataka apoteze hela zake zote?
 
Mkuu kwani mtanange wa templer na bot umefikia wapi aise?
 
Mkuu kwani mtanange wa templer na bot umefikia wapi aise?
BOT wameshindwa biashara, acha pesa zipelekwe Kenya maana hakuna namna, sasa hivi zinatumika Line za Safaricom na E-wallets kama Skrill Via Bank/Mastercard. kama ni bank tumia Equity wao ni fasta hawana longolongo kwa Online transactions
 
Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M Pesa bado unaweza kutumia kupitia Safaricom ambapo bado ni njia rahisi kulinganisha na nyingine zilizopo, hao PesaFx hawafai achana nao mkuu, ana spread kama barabara na manipulation za kufa mtu, watu wengi wanamlalamikia
 
Kama huwezi toa hela nicheki PM nitakusaidia. Au kama unamuamini mtu yeyote mwenye Safaricom atakutolea. Unakwama wapi muda wote huo, au nyinyi ndo traders ambao mkishajua vizuri mnajifungia hamtaki habari yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…