Wazoefu wa Forex

Wazoefu wa Forex

Nina templer account,ila naitumia kimachale sana kwa kuzingatia kuwa usajili wao upo questionable!! Yaani ni kama black market hivi, hawajasajiliwa popote na taasisi yoyote inayotambulika kimataifa,hawana customer service ya kueleweka na hata ukituma Email kwao hawa respond in time,ila nawatumia kwa cent account kama tu Demo account,siwezi kuweka 500$ zangu kwa templer!! Its a risk.
Mkuu hebu acha kupotosha umma bila sababu ya msingi ,Templer
 
Mkuu hebu acha kupotosha Umma bila sababu ya msingi , kwa bongo hamna broker aliye na customer care nzuri kama Templer , huyu broker anajibu haraka na unaweza kumpata mpaka mtandao wa WhatsApp anakujibu hapo hapo!!

Kuhusu wewe kuweka mtaji wako wa $500 unachekesha watu maana watu wana mitaji mirefu templer mpaka $10000 huko na kuendelea na hawajawahi kupata shida ,broker ana operate since mwaka 2004 kama ni kutapeli angeshatapeli watu muda mrefu ,wewe umemjua Leo 2019 wenzio wanamtumia toka kitambo tu
Mgeni uyo mkuu kwenye anga izo msamehe t
 
Mkuu Templer gani iyo unayosema wewe? Na utawatumiaje email then unataka kujibiwa haraka?

Ingia kwenye chat room yao ile ya online kwenye account yako uone, wako fasta kweli na wana customer service nzuri sana.
Afadhali umempa elimu.
 
Kama wewe ni fundamental trader naomba uje PM tuongee
 
For telegram user

Anayehitaji kujifunza
*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and pysiology behind its formation
*Supply and demand strategy

ajoin telegram chanel

👇🏽
Forex lesson tanzania (swahili)
 
partner certificate.jpeg
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Ni Jambo la kufikirisha Sana! tengeneza algorithm yako (EA) aka robot li optimize kwenye pair chache kwa setting tofauti.

Fungulia robot kwenye soko, though faida inaweza kuwa ndogo Ila Ipo consistent.

Nafikiri high frequency trading ndio future ya fx.
Hahaha 😂 unaongea utadhani ni rahisi, hakuna mtu mwenye trading algorithm ambayo inaguarantee faida, unamwambia mtu ambaye hana hata background yoyote atengeneze algorithm ya trading? Haha unataka apoteze hela zake zote?
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
Mkuu kwani mtanange wa templer na bot umefikia wapi aise?
 
BOT wameshindwa biashara, acha pesa zipelekwe Kenya maana hakuna namna, sasa hivi zinatumika Line za Safaricom na E-wallets kama Skrill Via Bank/Mastercard. kama ni bank tumia Equity wao ni fasta hawana longolongo kwa Online transactions
 
Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M Pesa bado unaweza kutumia kupitia Safaricom ambapo bado ni njia rahisi kulinganisha na nyingine zilizopo, hao PesaFx hawafai achana nao mkuu, ana spread kama barabara na manipulation za kufa mtu, watu wengi wanamlalamikia
 
Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwezi toa hela nicheki PM nitakusaidia. Au kama unamuamini mtu yeyote mwenye Safaricom atakutolea. Unakwama wapi muda wote huo, au nyinyi ndo traders ambao mkishajua vizuri mnajifungia hamtaki habari yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom