Sasa mbona unasema kuwa templerfx anapokea na kutuma pesa kwa mpesa? Unataka kumkamata nani? Ninavyojua huduma kwa mpesa zilisitishwa kitambo tu, mimi kuna senti zangu nyingi tu nimeziacha templer baada ya sekeseke hilo,nimejaribu kwa kuwatumia mawakala ila bado siyo salama sana,sasa hivi nipo na pesafx
Sent using
Jamii Forums mobile app