Huenda tatizo lilikuwa jamaa, alikuwa anaridhika mechi za nje akirudi nyumbani amechoka, ametumika sana anatimiza wajibu tu kupiga mechi.
Huenda tatizo lilikuwa la mke alikuwa hatoi ushirikiano vizuri sababu alijua hana mpinzani, sasa kaona ushindani kajiongeza kwa usafi, mahaba, heshima, nidhamu, na mautundu hivyo jamaa anafurahia mechi ya nyumbani.
Either way mwanamke ashukuru hilo fumanizi limewafungua wote wajue walikuwa wanakosea wapi.
Mwisho wanawake muache 'complacency' mkiwa ndani ya ndoa, wengi mmeridhika mnajiachia hovyo, wavivu kwenye 6x6, wanaume wengi huku kwenye vikao vyetu wanalalamika wake zao sasa wamekuwa wachafu inaweza kuwa usafi wa chumbani, nguo, na mwili, wengi wamejiachia mwili, majukumu yao mengi wamewaachia house girls. Wengine viburi baada ya kuhakikisha wamepiga pingu na wamezaa na wadau husika.