Wazoefu wa kuchepuka hii imekaaje?

Dada kama una mpango wa kuchepuka nicheck 😎 😎
 
Asali ni tamu kwa mwanaume ila kadiri unavyo endelea kulamba asali unazidi kuizoea na kuona asali haina utamu wowote na hatimae una hamia kwenye sukari...

Kama huamini wewe lamba asali kila siku kwa muda wa mwezi mmoja alafu gafla uje ulambe sukari utaniambia ladha yake
 
📌📌📌
 
Nimewahi kuwa na wanawake zaidi ya mmoja,...na kila mwanamke anataka gemu hivyo nilikuwa nikitoka kwa mchepuko nikipiga BAO tatu ili kuweka heshima, na nikifika nyumbani mke nae anataka najilazimisha napiga kimoja cha afya.

Tatizo la mwanaume mwenzetu ni kuwa na wanawake wengi ,hivyo kwa mke ilikuwa ni kujilazimisha tu!.
 
huko nje jamaa alikuwa field training kupata ujuzi. wakati mwingine wanawake huwafundisha wanaume namna ya kushughulika kitandani
 
Kwa kifupi hakuna upungufu wa nguvu za kiume...isipokuwa wanaume wamezidiwa na michuchu mingi
Wanaonjaonja kila mahali, mwisho wa siku kwa mazahouse ni kugusa tu na kulala😁😁
 
Dem kama kweli unampenda utamfuck vzr mpk aridhike ukiona hauridhik bas ilo dume lishakuacha mda mrefu tu ni kwamba ww hujui
 
Amepitia nyuzi za wadau Wa JF humu na pengine alishaniPM nikamshauri Cha kufanya.


Hata usipanik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…