Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Unatakia nikujibu vipo?Anafaa kwa matumizi yangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakia nikujibu vipo?Anafaa kwa matumizi yangu?
Ndio au hapanaUnatakia nikujibu vipo?
Hata kimya ni jibuNdio au hapana
kuna jamaa (mshikaji kijiweni enzi hizo) alijua mkewe anatoka nje, akaanza kumpa dozi ati hadi kichubuke na kuvimba kabisa. demu si akaanza kulalamika,yakatoka nje.Eti hii imekaaje?
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza unajitahidi tena aende roundi nyingine lkn hamna bàsi unazoea hayo maisha.
Lkn baada ya miaka 5 unamfumania anafanya mapenzi na rafiki yako yaani rafiki wa mke tena jamaa anaonekana kafa kaoza kwa rafiki wa mke, baada ya mke kugundua jamaa anaomba sana msamaha.
Ila sasa chakushangaza jamaa kuanzia hapo anaanza kupiga mechi mpaka mke anashangaaa kwa mara ya kwanza mke anaanza kufika kileleni yaani tangu afumaniwe na aombe msamaha.
Anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika. Je, kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini?
Pia, jamaa (mme) tangu afumaniwe amekua mtu wa mawazo sana, kapoteza furaha yaani yupoyupo tu.
Kuna nini?
Toa pass ya upendo weweNna bff wangu anatafuta mume 😀😀😀
Wanaume huwa tunawakinai Wanawake,full stop.Kama unadhani jamaa ni wa bao moja wewe MPE Mwanamke mwingine mpya utaona ataebda hadi bao 5.
Huyo huyo Mwanamke ukimgonga sana unamzoea na ile hashiki juu yake inapungua mwishowe tena wanakuwa wa bao mmoja-this is normal kwa Wanaume wengi.
Ndio maana kila Siku hatukosi kutamani wanawake wapya.