Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

ID Fake

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
503
Reaction score
776
Nawasalimia kwa jina la JMT.

Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.

Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo!

Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri.

Ila hii picha ya Dashboard ndio kwakweli imeleta hofu...

Mimi si mtaalam wa magari kabisa, lakini haya marangi rangi mekundu kwny dashboard ndugu zangu sio dalili kwmba engine/ gari hii ni kimeo?

c1815b9ab6694c76a51d6599e6c4223b.jpg
 
View attachment 2311768
Hii picha kipindi inapigwa gari ilikuwa katika hali gani? Imewashwa kabisa ( kupiga start) au ilikuw on? Naona taa ya check engine paleeeeee
 
Toyota Wish anainunua bei gani mkononi?

Kuliko kununua huo mwembe kwanini hiyo hela yake asiingie nayo show room akanunua hata Passo au Starlet zile model EP 90/91?maana mwisho wa siku hiyo wish yake itaonekana korokoro tu mbele ya wenye magari so bora ajipige mwenyewe counter attack mapema anunue kitu salama.

Nb:mie gari sina nimeshauri kama mpita njia!
 
Inategemea kama gari iliwashwa kabisa au ilikuwa on? Kama iliwqshwa kabsa na kuanza kutembea hizo taa zinatakiwa zizime ila kama imewashwa on na taa zinawaka hiyo ni kawaida
 
Mi nimetumiwa picha tu nitoe maoni kama gari inafaa.

Ila sasa hizo taa nyekundu naona kama mapichapicha!
 
Mshauri apeleke gari Jerry spare garage wana huduma ya kukagua magari kabla ya kununua so wakisha kagua watakuambia matatzo wewe utaangalia kama unaweza kuyatibu
 
Toyota Wish anainunua bei gani mkononi?

Kuliko kununua huo mwembe kwanini hiyo hela yake asiingie nayo show room akanunua hata Passo au Starlet zile model EP 90/91?maana mwisho wa siku hiyo wish yake itaonekana korokoro tu mbele ya wenye magari so bora ajipige mwenyewe counter attack mapema anunue kitu salama.

Nb:mie gari sina nimeshauri kama mpita njia!
Mi nimemwambia hiyo kitu chombo ya fundi, mwenyewe ataamua!
 
Inategemea kama gari iliwashwa kabisa au ilikuwa on? Kama iliwqshwa kabsa na kuanza kutembea hizo taa zinatakiwa zizime ila kama imewashwa on na taa zinawaka hiyo ni kawaida
Anasema ilikuwa On.
 
Hiyo gari haija start,funguo zinaonyesha ipo on.Hivyo ni kawaida,ikiwashwa hizo taa zitazima
 
Anasema ilikuwa On.
Sasa kwani nae hajui kuendesha gari? Hajui kama gari iliwa on taa zote zinawaka? Ila mwambie kama gari ilishaiwasha engine kwa ajili ya kuanza safar na imewaka taa hizo akimbie ndukii
 
Ni gari gani Boss. Hapo me naona taa ya ABS kwa mbali, Hiyo iliyoko kulia kabisa sijajua ni taa gani.
Kaka toyota ist ya MWAKA 2002 natakiwa kuweka automatic transmission litre ngap kwenye gear box
 
hio gari ipo ON haijawashwa ndio maana hizo taa zimewaka... LAKINI HATA HIVYO KUNUNUA TOYOTA WISH kwasasa ni sawa na kununua screpa, zimepitwa na wakat zina muonekano mbaya zinalegea haraka n.k... mwambie aache ujinga gari nzuri zipo nyingi tu tena kwa bei nzuri...
 
Hii ndo wahuni wanaita makavu laivu! Asee!!
[emoji23][emoji23]
 
Nawasalimia kwa jina la JMT.

Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.

Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo!

Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri.

Ila hii picha ya Dashboard ndio kwakweli imeleta hofu...

Mimi si mtaalam wa magari kabisa, lakini haya marangi rangi mekundu kwny dashboard ndugu zangu sio dalili kwmba engine/ gari hii ni kimeo?

View attachment 2311768
Hapo taa zilizowaka kuna taa ya mkanda kuonyesha mkanda wa dereva haujafungwa, kuna taa ya foot/handbrake kuashiria imejiloki haijatolewa bado,kuna taa ya mlango upo wazi, na kuna taa ya njano hapo nadhani ni ya ABS kuonyesha kuna warning ya upande wa matairi ingawa hayajaanza kuwa changamoto.

Why ununue gari mkononi halafu limechoka hivyo?! Gari gani hiyo.
 
Back
Top Bottom