ID Fake
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 503
- 776
Nawasalimia kwa jina la JMT.
Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.
Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo!
Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri.
Ila hii picha ya Dashboard ndio kwakweli imeleta hofu...
Mimi si mtaalam wa magari kabisa, lakini haya marangi rangi mekundu kwny dashboard ndugu zangu sio dalili kwmba engine/ gari hii ni kimeo?