Ni gari gani Boss. Hapo me naona taa ya ABS kwa mbali, Hiyo iliyoko kulia kabisa sijajua ni taa gani.Nawasalimia kwa jina la JMT.
Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.
....
Kama anawasiwasi aipeleke ikafanyiwe diagnosis kabla hajalipia. Ingawa picha haioneshi hizo taa vizuri.Toyota Wish!
Hii picha kipindi inapigwa gari ilikuwa katika hali gani? Imewashwa kabisa ( kupiga start) au ilikuw on? Naona taa ya check engine paleeeeeeNawasalimia kwa jina la JMT.
Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.
Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo!
Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri.
Ila hii picha ya Dashboard ndio kwakweli imeleta hofu...
Mimi si mtaalam wa magari kabisa, lakini haya marangi rangi mekundu kwny dashboard ndugu zangu sio dalili kwmba engine/ gari hii ni kimeo?
View attachment 2311768
Mi nimetumiwa picha tu nitoe maoni kama gari inafaa.Hii picha kipindi inapigwa gari ilikuwa katika hali gani? Imewashwa kabisa ( kupiga start) au ilikuw on? Naona taa ya check engine paleeeeee
Mi nimemwambia hiyo kitu chombo ya fundi, mwenyewe ataamua!Toyota Wish anainunua bei gani mkononi?
Kuliko kununua huo mwembe kwanini hiyo hela yake asiingie nayo show room akanunua hata Passo au Starlet zile model EP 90/91?maana mwisho wa siku hiyo wish yake itaonekana korokoro tu mbele ya wenye magari so bora ajipige mwenyewe counter attack mapema anunue kitu salama.
Nb:mie gari sina nimeshauri kama mpita njia!
Sasa kwani nae hajui kuendesha gari? Hajui kama gari iliwa on taa zote zinawaka? Ila mwambie kama gari ilishaiwasha engine kwa ajili ya kuanza safar na imewaka taa hizo akimbie ndukiiAnasema ilikuwa On.
Kaka toyota ist ya MWAKA 2002 natakiwa kuweka automatic transmission litre ngap kwenye gear boxNi gari gani Boss. Hapo me naona taa ya ABS kwa mbali, Hiyo iliyoko kulia kabisa sijajua ni taa gani.
Hii ndo wahuni wanaita makavu laivu! Asee!!hio gari ipo ON haijawashwa ndio maana hizo taa zimewaka... LAKINI HATA HIVYO KUNUNUA TOYOTA WISH kwasasa ni sawa na kununua screpa, zimepitwa na wakat zina muonekano mbaya zinalegea haraka n.k... mwambie aache ujinga gari nzuri zipo nyingi tu tena kwa bei nzuri...
Hapo taa zilizowaka kuna taa ya mkanda kuonyesha mkanda wa dereva haujafungwa, kuna taa ya foot/handbrake kuashiria imejiloki haijatolewa bado,kuna taa ya mlango upo wazi, na kuna taa ya njano hapo nadhani ni ya ABS kuonyesha kuna warning ya upande wa matairi ingawa hayajaanza kuwa changamoto.Nawasalimia kwa jina la JMT.
Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka.
Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo!
Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri.
Ila hii picha ya Dashboard ndio kwakweli imeleta hofu...
Mimi si mtaalam wa magari kabisa, lakini haya marangi rangi mekundu kwny dashboard ndugu zangu sio dalili kwmba engine/ gari hii ni kimeo?
View attachment 2311768
Hamna taa ya check engine hapo.Hii picha kipindi inapigwa gari ilikuwa katika hali gani? Imewashwa kabisa ( kupiga start) au ilikuw on? Naona taa ya check engine paleeeeee