Raja msomi
Member
- Oct 29, 2019
- 13
- 10
mwacheni alie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa kweli utadhani naenda kukopa mamilioni mengi, alafu wanadhani wao wanaakili nyingi sana kuliko mimi.Naona michango mingi ni ya kumkatisha tamaa mleta mada. Kukopa ni moja ya njia ya kupata maendeleo. Matajiri wengi wanakopa. Kakope NMB mleta mkuu usikatishwe tamaa na wachangiaji
Bora uuze mwenyewe utabaki na hela ya kununua kiwanja kingine siyo hao jamaa wa mikopo Mkuu,,nilikopa benk kama miaka kumi hivi mwisho kabisa ilibidi niuze Nyumba mwenyewe ili kumaliza deni,,kumaliza deni la mkopo salama ni ngumu labda uwe Mtumishi.Nikishaiuza ndio itaendelea kuwa yangu?
Mkuu nenda kakope utakuja hapa kuomba ushauri kwa yatakayokukuta,,hao matajiri wana biashara kubwa tena wengine wana makapuni na aset zao ni kubwa wewe una kanyumba hako kamoja unaishi na mama mkwe ndo unataka kwenda kukopea?naandika nachokifahamu mkuuNawashangaa kweli utadhani naenda kukopa mamilioni mengi, alafu wanadhani wao wanaakili nyingi sana kuliko mimi.
Biashara yangu ishaipima kuwa inaweza kurudisha marejesho vzr sanaaa
Kopa bank zote sio Access Bank mkuu narudia sio Access Bank
Jitoe ufahamu tu.
Una mawazo mazur sana kijana Ila kabla sijakushauri naomba kukuuliza swaliNdio nataka nikope kwaajili yakuongezea kwenye biashara
Tatizo siyo kukopa kiasi unachoweza kulipa Mkuu,hiyo pesa mkopo hata kama ni kidogo haifai kabisa,ukizishika zinayeyuka zenyewe hutaamini.Hahahaha nimecheka mkuu.... Ila mkuu sinakopa mkopo ambao upo ndani yauwezo wangu
Kwaiyo unataka kusema waajiliwa ambao mishahara yao haizid laki Saba hawawezi kukupa ushauri sahihi?buzitata, Sijibu.... Bila Shaka wewe nimuajiriwa namshahara wako hauzidi laki 7
Ni heri utafute njia zingine uongezee mtaji kuliko kukopa bank, Mkuu usikopeKwaiyo unataka kusema waajiliwa ambao mishahara yao haizid laki Saba hawawezi kukupa ushauri sahihi?
All in all nakushauri tu usikope ikiwa mzunguko wa biashara yako unaweza kuumudu kwa pesa ulonayo Ila ukiona demand ni kubwa kuliko mtaji ulonao Basi ruksa kukopa