mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ikiuza inakuwa sio yako lakini unakuwa umeiuza kihalali kwa bei uliyoridhika mwenyewe ila ukishaikopea ukashindwa kulipa deni itakuja kuuzwa kwa bei ya kutupa.Nikishaiuza ndio itaendelea kuwa yangu?
Kwa mfano nyumba ya milioni 50 wanakuja kuiuza kwa milioni hata 15 ili mradi wapate hela yao.
Na unapouza nyumba kwa presha ya kudaiwa huwezi kupata mteja kwa Bei uitakayo wewe na sio kwa muda unaotaka wewe.
Inaonekana wewe ni mgeni kabisa katika haya mambo,ngoja ukakope ukishafilisiwa ndio utajifunza.