The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala.
Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote.
Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo.
Tunahitaji watawala jasiri ili kusonga mbele la sivyo tutalilia kila siku