Sasa huyo Jiweunamuita jasiri kaiba toka 1995 hadi mauti ilivyomchukua. Na katika uhai wake alivunja rekodi kwa kukomba Trillions za kutosha.au kwako ujasiri ni wizi uliokubuhu?;
Kuweni wasafi kabla ya kulala mnafua na kubadilisha shuka za vitanda vyenu kila mara na kuhakikisha vitanda na mnapolala ni pasafi. Mkiamka mnaingia jamvin na kuleta nyuzi za maana badala uharo na utopolo.